MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 319
- 755
Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam.
Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa ikizingatiwa kuwa chama hicho kimepigwa marufuku na mahakama kuu kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa.
Haya sasa hii ndo inaitwa mwanakulitaka mwanakulipata. Tujiande kusikia milio.... ya kudai wameonewa.. na kelele za wanaharakati uchwara.