njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,108
Wametangaza lini na wapi ndugu?
kwa kupitia kiongozi gani?
Nami niwakimbie kwani mimi ni muislamu safi na pia cdm
1 ) Pro CDM JF wengi ni anti muslims
2)Mzee Mtei kauli yake kuhusu tume ya katiba na kudai waislam wamependelea "huyu muasisi wa CDM"
3)mchungaji msingwa kusimama bungeni bila aibu eti anauliza kwa nini zanzibar watu wanfunga ...
etcl...
matendo yao na viongozi wao na mashabiki yanatosha kuthibitisha they are anti muslims