kamtu33
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 998
- 409
Wameishiwa sera hao,mbowe anamiliki disko kitambo kabla vyama vingi avijaanza,wao ndio wanamahusiano na CCM maana walifunga ndoa zanzibar tunasubiri kuona mtoto atakaye zaliwa uko.
Mkuu humna habari kama wanaye mtoto mama mtu CUF ndo ananyonyesha