njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,108
Hata mimi naona vibarakashia tele
rorho zinawauma ehh! mlitaka vibaraka shia vije cdm..?! udini wa cdm kamwe hamtaviona hivo
Hata mimi naona vibarakashia tele
Lipumba anaongelea vitambulihso india ,nadhani atakwenda kuongezea kuwa india nao walikuwa na kipengele cha dini katika sensa zao.
Lipumba anasema njia rahisi ya kupunguza umasikin ni kuwapa masikin fedha taslimu.
Prof ni kimeo ...Hakuna ushahidi kuwa ukiwapa watu hela ya bure watajikomboa.Otherwise wale watu wa vijijini wanaoishi kwa kupewa hela na ndugu zao wa mjini wengi wameishia kuwa masikini zaidi.Yule mwanafilosofia mkubwa alisema usimpe mtu samaki ila mfundishe kuvua...prof hajui kuwa serikali kazi yake ni kujenga mazingira mazuri ya raia kujenga maisha, na kuwawezesha si kuwalisha kama kuku.
mchumi anangurumisha facts,huwezi sikia facts kama hizi wa wacheza disco na wakware wa wake za watu. Msaidieni kucopy points padri zitamsaidia akiwa kaskazin kwenye mkutano yake
Naombeni mliopo jangwani mtupe updates maana TBC hawaeleweki hamna sauti naona vibagalashia tu
Mtatiro kaamua kutoichafua CHADEMA. Saafi saana
Namuona Ritz, yuko jukwaa kuu
Lipumba ni jembe xana ila watu wake ni lundenge anatema point xana, TUWASAIDIE WANACUF MAANA WANAONA AIBU KUJITOKEZA
Mkutano wa CUF umeanza:Mbwembwe kibao na kukana "jino kwa jino"
-Mchungaji mhh..anaweza kuwa feki..Kaanza kama wachungaji wengine ila kmalizia kama Padri kafanya ishara ya msalaba kama mkatoliki, wakati anashuka jukwaani kagongeana na watu waliokua jukwaani,kwa style y akupongezwa kuwa kaweza igizo.Napata wasiwasi kam si mwigizaji.
-TBC wanakatakata, sijui wanarusha bure?
Vipi hawa jamaa walihamasishana misiktini nin,
Lipumba ni jembe xana ila watu wake ni lundenge anatema point xana, TUWASAIDIE WANACUF MAANA WANAONA AIBU KUJITOKEZA