Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Sheikh ponda bado hajapanda jukwaan au yeye hajaudhuria
 
Ni muda mrefu mno tangu Kiongozi huyu wa CUF Prof Ibrahim Lipumba kuongea na wanachama wake. Tunaona madhara yake. mawazo yake na mitizimo ni tofauti mno na watu wake. Tumesikia utumbo uliokuwa ukiongelewa na washiriki na viongozi wengine wakijaribu kuturudisha nyuuuuma kabisa tuliko sahau, dalili ya kutokuwa na sera kwa viongozi hawa. So tunapata ushahidi wa wazi kuwa Maono ya Kiongozi ni muhimu mno katika kuamua dira ya Chama. Na tatizo hili lipo pia kwa CCM, viongozi wanadhani maukumu yao ni kusaini makaratasi ofisini na kufanya ziara tu. Amkeni muongee na wananchi wasituingize chaka. Hebu fuatilieni mtizamo wangu kuhusu taswira ya vyama vya siasa pale ambapo mtizamo wa juma wa viognozi wengi unaposimamia dira ya chama na kuacha kila mmoja kuropoka wakati viongozi ambao wanaonekana kuwa na taswira tofauti, wako kimya wakiacha uchafu ueneee kwenye majukwaa ya siasa angalia hapa: https://www.jamiiforums.com/great-t...ma-vya-siasa-tanzania-ccm-cuf-na-chadema.html
 


mara uko ccm mara chama cha kava ah sory cuf tutakupata tu uko wap

mimi sina chama! ila nachukia sana chadema "from flesh of my flesh " sababu wametangaza vita na imani yangu "islam" waziwazi
 
jamani mbona leo mnanyemelea nyemelea kama vibaka wa ubungo afu mnawasiwasi kweli.

sina wasiwasi wala sinyemelei, najiamini na niko huru. Uzuri mnajidhirisha wenyewe jinsi mlivyo na chuki ktk vifua vyenu.
Hamuwezi kuificha, mtaumbuka tu.
 
MChumi anangurumisha Facts,Huwezi sikia facts kama hizi wa wacheza Disco na wakware wa wake za watu. Msaidieni kucopy points Padri zitamsaidia akiwa kaskazin kwenye mkutano yake

Taja hizo facts ili sisi tuzi-judge wenyewe sio u-judge kwa niaba yetu, hatujakutuma kutuwakilisha
 
Watu wanaanza kuondoka prof lipumba kapanda vx lake akinzungukwa na makomandoo ngagari wakiimarisha ulinzi wakuu
 
labda ni mwendelezo wa maandamano ya ijumaa!!!

naombeni tujitahidi kuwa wastaarabu, si jambo jema kuendekeza mitazamo dhaifu na yenye chembechembe za udini udini ebu watanzania TUACHE HUU UTOTO, HAUNA FAIDA YOYOTE. Hata tukikataa kuacha hii tabia si kwa mwisilam au mkristo tujue tu kwamba wote tunakubali kuwa wajinga na kuufuata ujinga kama vile mwenyezi mungu hakutupa hekima. Hii nchi sio ya waislam na wakristo pekee bwana ni ya watanzania, kwanza hata huyo mungu mnayedai kumfuata na kumhubiri kila siku anawashangaa, mungu gani asiyekuwa na utaratibu na staha kwa watu. Kama mnazitaka dini zenu si mwende miskitini au makanisani. Mnatuchosha bwana na mambo ya dini dini hata mahala ambapo hayana uhusiano, kila mtu ana dini yake na kila dini mtu ya bora kwake, si lazima ninachokiamini mimi na wewe ukiamini ila ustaarabu ni kutambua na kuheshimu kile anachoamini mwingine kama ambavyo ungependa cha kwako kiheshimiwe pia.
 
Acha utabiri wewe, chukua peni na karatasi kula darasa la bure mfundishane kabla ya kikao kijacho cha bunge au kwenye ile mikutano yenu, Huyo ni mhadhiri,Mchumi wa level ya wafadhili wenu!

kalamu ya nini wakati sitaki hata wanangu wamsikie?hana hata ethics, wala consistency, naongelea mambo ya nje ya uchumi kuchanganya wajinga aliowapata ili wasimbane.

Hiyo CV ndio inawaponza.Hao wafadhili wanamtumia si kwa kuleta theory mpya ila kubeba theory zao.Msijishau sana.Hna kipya.
 
Wametangaza lini na wapi ndugu?
kwa kupitia kiongozi gani?
Nami niwakimbie kwani mimi ni muislamu safi na pia cdm




mimi sina chama! ila nachukia sana chadema "from flesh of my flesh " sababu wametangaza vita na imani yangu "islam" waziwazi
 
Nicholas aisee you should be a comedian hehehe yaani unabishana na Prof.LIPUMBA KATIKA ISSUE ZA UCHUMI! hehehehe! ... we bana weee!!!
 
Sheikh ponda bado hajapanda jukwaan au yeye hajaudhuria

mnazidi kudhihirisha mloyaficha moyoni, halafu mnasema udini ni propaganda ya ccm wakati wenyewe ndo mnaikumbatia kwa nguvu zote.
Mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Acha utabiri wewe, chukua peni na karatasi kula darasa la bure mfundishane kabla ya kikao kijacho cha bunge au kwenye ile mikutano yenu, Huyo ni mhadhiri,Mchumi wa level ya wafadhili wenu!

Sasa kama yupo level hiyo, ni Nini kinamzuia kuwa mfadhili wetu??
 
CUF hawana uwezo wa kuchafua CDM ila kujichafua katika mifereji ya sewage ya CDM.CUF haina intellectuals, na hawana integrity.
Nitapenda mod iwepo thread kuulizia vipi CUF wanakuja na Mchungaji feki
 
Back
Top Bottom