Wadau,
Katika hali ya kushangaza, ama kuchanganyikiwa mwanachama maarufu wa CDM a.k.a "Dogo janja"
Ametamka hadharani katika viwanja vya nmc kuwa kama CCM ikiboa wataigawanya nchi kama Sudan.
Wakuu sijajua sababu ya kutoa maneno haya na nina wasiwasi sana na agenda hizi za siri, ukiunganisha na post ya
pasco ya ukaskazini ambayo sikuweza kuijibu kwa kuwa nilikuwa kifungoni naona kuna siri nzito imefichika.
Nawakilisha
Sema "nawasilisha" hivi hujui tofauti ya "kuwakilisha" na "kuwasilisha" au unafanya kusudi?