Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Huu mpango wa kuimega Kaskazini ni ajenda ya cdm tangu kimeanzishwa,na sasa ndio wameshika kasi.

Ni suala la kujiuliza,ivi kwa nini mikutano yao mikubwa inayoudhuriwa na viongozi wa kitaifa inafanyikia Arusha na Moshi pekee!!??

Acha kuropoka taja mikutano gani hiyo?
 
alichokuwa anajaribu kuelezea Nasary ni namna CDM inavyonyakua majimbo. Ona mwenyewe Mwanza, Mara, Karatu, Arusha na Moshi inakaa imejitenga kama mwezi. Hivyo kuleta mantiki ya kaskazini kuwa ngome ya Chadema. Na msukumo wa maneno hayo ni kutokana na hila za CCM kutumia njia chafu hata kama ni kuchinja watu (kama walivyomchinja mwenyekiti Mmbwambo wa Usariver). Kwa hiyo ndipo inakuja hiyo dhana kwamba CCM kama hawataki fair play basi tukate kampaka ketu kanakoazia mwanza mpaka moshi! Lakini mwenyekiti Mbowe amesisitiza kwamba hiyo ni kauli ya nasari kama dogo janja na sio ya chama! poleni magamba kwa kukosa mtaji wa maneno!

Mpingauonevu badili jina hili maana haliakisi unachoshabikia.
 
Atamaniaye faida(kishika dola) huifadhaisha nyumba yake(Chama chake), bali achukiaye zawadi ataishi.
Njia za mtu zikimpendeza Bwana, Hata adui zake huwapatanisha naye.
 
Hivi wanaitaka kuvunja muungano tena mmoja mteulewa rais si ndio kuleta ya sudan?
Mzee Mwanakijiji ukisikiliza kauli nzima ya dogo janja haikuwa na madhara,ila watu wanasimamia kwenye kipengele kidogo ambacho wao ndo walikuwa wanaitaka ili kuonyesha weakness ya CDM,mbona Mbowe kaelezea tu vizuri pale kuwa hiyo siyo kauli ya chama
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteni sana kutujuza imekuwa kama wote tulikuwepo Arusha. Hatuna haja tena ya kungoja longo longo ya tbc
 
Wadau,

Katika hali ya kushangaza, ama kuchanganyikiwa mwanachama maarufu wa CDM a.k.a "Dogo janja"

Ametamka hadharani katika viwanja vya nmc kuwa kama CCM ikiboa wataigawanya nchi kama Sudan.

Wakuu sijajua sababu ya kutoa maneno haya na nina wasiwasi sana na agenda hizi za siri, ukiunganisha na post ya

pasco ya ukaskazini ambayo sikuweza kuijibu kwa kuwa nilikuwa kifungoni naona kuna siri nzito imefichika.

Nawakilisha
CDM si mmo humu ndani?
Thibitisheni au mkanushe hili.
Siku zote nimesema CDM hawana sera inayoeeleweka sasa kama kuna hizi tetesi za msimamo kama huo wa siri basi twafa!
 
hakuna linaloshindikana,Arusha inajulikana kama jamhuri ya watu wa Arusha,na kwataarifa yako nikua hii mambo ilianzia rombo baada ya mbunge selasini kuchukua jimbo warombo wakatangaza jamhuri yao.alakini dogo janja alikua anamaanisha kua serekali ya sisiemu isipokua makini kwenye kufuata katiba ya nchi basi watu hawako tayari kuendeshwa kihuni na jahkaya.kwanini anavunja katiba kwa kuteua waziri pasipokufuata katiba?basi wana wa kaskazini walierevuka hawapotayari kuburuzwa kama hayo majinga mengine yanayosapoti magamba.inamaana ipo siku ataamka amtangaze mke wake au mallaya wake kuwa waziri bila kuhojiwa na yeyote,tumieni akili kufikiri huyo bwe.ge hakutumia katiba wala taratibu kumteua huyo waziri,au ni ndugu yake nini
 
Huu mpango wa kuimega Kaskazini ni ajenda ya cdm tangu kimeanzishwa,na sasa ndio wameshika kasi.

Ni suala la kujiuliza,ivi kwa nini mikutano yao mikubwa inayoudhuriwa na viongozi wa kitaifa inafanyikia Arusha na Moshi pekee!!??
uko period??
 
nafikiri issue ni rais ambaye amevunja katiba kwa kuteua mawaziri ambao hawajaapishwa na bunge. Lakini kila mtu ni binadamu na anaweza kupitiliza kwenye matamshi kama alivyofanya lusinde. Kama cdm hatuwezi kuongoza nchi nusu tunaitaka yote
 
Ebu tuambie Mbowe alijibuje,usiwe unakimbilia upande mmoja,unaonyesha udhaifu wako

Sasa Chama gani kila siku mje kukanusha tu?

Ya mtei mkasema sio chama, na hili tena kwenye mkutano sio la chama?

Aibu kubwa hii, siri zenu ninawekwa wazi.

Peopleeeeesss Pawa, kumbe kugawa nchi?
 
Jamani twendeni lindi,mtwara,tanga,tabora,unguja sii kila siku arusha.arushwa wameshaelewa maana ya m4c!

leo katika mkutano heche kasema wanaelekea huko na yeye ndio atakae kuwa kamanda wa opersheni hyo mtwara na lindi...wanagawana majukumu wengine watakuwa huko kwingine..
 
Mzee Mwanakijiji ukisikiliza kauli nzima ya dogo janja haikuwa na madhara,ila watu wanasimamia kwenye kipengele kidogo ambacho wao ndo walikuwa wanaitaka ili kuonyesha weakness ya CDM,mbona Mbowe kaelezea tu vizuri pale kuwa hiyo siyo kauli ya chama
Mkuu mtu mzima wa akili aliyeaminiwa na watu,tena wa jimbo la uchaguzi,mdomo wake inabidi achunge sana maana kauli kama tunzozisikia zaweza kuleta vita.
Huyo Nasari tayari amekuwa gugu linalofaa kung'olewa katika nchi ya Tanzania yenye amani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom