Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Hatuwezi kukubali nchi yetu iendeshwe kihuni...

Kipindi hiki serikali inaandaa bajeti na lazima wakutane na kamati za bunge wiki tatu kabla ya mkutano watawezaje kufanya kazi wakati hawajaapishwa bungeni..

wizara za Muungano/ sio za Muungano..

Wizara za Muungano..

  1. mambo ya ndani
  2. mambo ya nje
  3. fedha
Huyu mtu/kikwete sijui hasomi sheria na kanuni anampa mzanzibar wizara isiyo ya muungano??!!
 
Mbowe: Jk kavunja katba, kateua mawaziri ktk wizara isiyo ya muungano. mf. Afya Mwinyi.
 
Arusha Mambo vipi tena kina Ritz wamehack au ni kwangu tu ndio haishiki??
 
Kili siku Arusha kwa vile ndiko kuna vijana wengi hawana kazi. Kama Hilo si kweli Mbona hawafanyi moshi ambako ni chimbuko la Chaga Development Manufesto Chadema.
 
We Kilaza una kazi gani kuona wengine hawana kazi??

Tulieni mnyolewe!!
 
Namwona Mbowe kama hajapendezewa na kauli ya dogo janja

Mbowe is a Leader. Kitendo cha ku-refute kauli ya dogojanja hadharani and on-spot ameonesha mfano wa kuigwa si kwa CDM tu hata CCM. Kama mtu anatoka nje ya mstari anarudihwa hapohapo. Angechunia kauli ile ingeonekana ni agenda ya CDM. Hapa ndipo ninapomuona Mbowe ni kiongozi na hata CCM na JK watakubaliana na mimi. Siyo kumwacha mtu kama Lusinde anatukana halafua unamtetea kama alivyofanya Mukama.

Mbowe kamkosoa dogojanja very diplomatically bila ya kumfanya ajisikie amekwazika.
 
Chadema moto chini, kwa strategies hawatuweziiii!:israel:
 
Mbowe kakomaa kisiasa,anajua anachokifanya
 
Azimio la Arusha,jk mbona yupo Msoga ila usihofu toto yatima u pekee JF leo pole sana dogo. Kwa mbali karoho kakuuma vumilia ndo kimbunga alichosema Mr Sugu ndo hicho, Mbeya,Iringa,Mwanza,Songea,Kagera,Mkuranga etc kila kona CHADEMA tu.JNyerere aliwaambia ila uraf utawatokea puani

Wewe toka jana umeng'ang'ania Azimio la Arusha limesaidia nini hujui kama hilo Azimo lako la Arusha ndio limetuletea umasikini.

Naona unajipendekeza Chadema baada ya kuona ADC inakosa mvuto.
 
chadema ni noma Ar, Mbowe amemchana JK live mkuu wa kaya kavunja katiba kwa kuchagua mawaziri wawili bila kuwaapisha ubunge mkutano umekwisha
 
Mbowe is a Leader. Kitendo cha ku-refute kauli ya dogojanja hadharani and on-spot ameonesha mfano wa kuigwa si kwa CDM tu hata CCM. Kama mtu anatoka nje ya mstari anarudihwa hapohapo. Angechunia kauli ile ingeonekana ni agenda ya CDM. Hapa ndipo ninapomuona Mbowe ni kiongozi na hata CCM na JK watakubaliana na mimi. Siyo kumwacha mtu kama Lusinde anatukana halafua unamtetea kama alivyofanya Mukama.

Mbowe kamkosoa dogojanja very diplomatically bila ya kumfanya ajisikie amekwazika.
mkuu mbowe pale yupo sahihi kabisa,nilishtukia ile kauli ya dogo janja mana ingechafua chadema,ila kairekebisha pale pale kwahiyo hata wengine wakija kuanza propanda inakuwa haina nguvu mana imeshakanushwa
 
Mbowe is a Leader. Kitendo cha ku-refute kauli ya dogojanja hadharani and on-spot ameonesha mfano wa kuigwa si kwa CDM tu hata CCM. Kama mtu anatoka nje ya mstari anarudihwa hapohapo. Angechunia kauli ile ingeonekana ni agenda ya CDM. Hapa ndipo ninapomuona Mbowe ni kiongozi na hata CCM na JK watakubaliana na mimi. Siyo kumwacha mtu kama Lusinde anatukana halafua unamtetea kama alivyofanya Mukama.

Mbowe kamkosoa dogojanja very diplomatically bila ya kumfanya ajisikie amekwazika.

mkuu Nasari alitoka kauli gani mbovu mpaka kamanda wa anga akasahihisha?
 
Mambo zenu Magwanda mlioko hapo NMC( New Matatizo ya Chadema).."WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mbowe is a Leader. Kitendo cha ku-refute kauli ya dogojanja hadharani and on-spot ameonesha mfano wa kuigwa si kwa CDM tu hata CCM. Kama mtu anatoka nje ya mstari anarudihwa hapohapo. Angechunia kauli ile ingeonekana ni agenda ya CDM. Hapa ndipo ninapomuona Mbowe ni kiongozi na hata CCM na JK watakubaliana na mimi. Siyo kumwacha mtu kama Lusinde anatukana halafua unamtetea kama alivyofanya Mukama.

Mbowe kamkosoa dogojanja very diplomatically bila ya kumfanya ajisikie amekwazika.
Mkuu samahani nilichelewa kidogo, huyo Dogo Janja kasemaje mpaka kufikia kamanda Mbowe amrekebishe kidipromasia?
 
Back
Top Bottom