Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Ally bananga kama unasema ni cha ukabila,. Kitabadilikaje kama hamji,. Hauwezi ukasema mwanamke hajui kupika kama unampa kila siku mchicha, mwongeze na viungo ndo une,. Naskitika sn kwa kumpa jk kula yangu ee Mungu nisamehe
 
Chadema kwa nini mnajikita Kaskazini tu. kila mwezi lazima mfanye mkutano Arusha.

Jiografia ya Tanzani ni kubwa mno kila siku mpo Arusha tu hamuwezi kuchukuwa nchi kwa kuitegemea Arusha peke yake kuna maeneo mengi watu hawaijui Chadema kama haya.

Namtumbo.
Mbinga.
Tunduru.
Rufiji.
Mafia.
Mkuranga.
Bagamoyo.
Mvomero.
Gairo.
Ulanga.
Urambo.
Sikonge.
Uyui.
Kibondo.
Same.
Kasulu.
Mwanga.
Nachingwea.

Sio mnakaa sehemu mmoja tu Arusha kila siku huu ni ushauri wangu kwenu ni hiyari yenu kuukataa au kuukubali.

Ritz.

JF Daima.
 
umekosa cha kusema we gamba,mbona juzi lema na slaa wakiwa lake zone ulikuwa kimya? Kalale ama angalia ka2ni
 
wangepunguza matusi ingekuwa bora zaidi, haya mambo ya malaya, kujiharishia etc yanaharibu kila kitu, tubadilike sasa.
 
Alphonce Mawazo; Pipooooooooooooz

Hamjaelewa maana ya suti yenu! mngejua kuwa sauti zenu zinawafanya watu wanajiharishia mngepaaaza sauti zaidi..

Mngejua kuwa kuna huyu mama anatembea nyonyo wazi mngepaaaza sauti zenu zaidi...

Mngejua kuna watoto wanakaa chini mngepaaaza sauti zaidi...

Nina habari 2 muhimu na nitasema kwa ufupi sana..

Habari njema ni kwa mama zetu wanaotembea na karai zao biashara na wanapigwa na waliotusababishia huu umasikini
kwenu nyie mliopuuzwa kwa nusu karne
habari njema ni kuwa yule nyoka aliyewanynyasa sana nimemwacha ICU, CCm haipo tena!!

Baada ya kutoka mimi kule nilienda Dodoma, tukaenda kanda ya ziwa katoro, geita, kahama wamesema wantuunga mkono!!

Habari mbaya, na wote waniskie; wale wote waliochukua mali zetu kwa kuwa wanaishi mitaani kwetu tutawakamata kwa mikono yetu na hatutangoja huruma ya JK..
 
ritz yaani leo toka asubhi umeng'ang'ania sijui CDM haiendi sehemu za kusini kwann unakua na uchungu na CDM?
Mshauri Nape aeneze chama na itikadi za kimagamba maana amejisahau pale Lumumba anapigwa AC na kitambi kinamkaribia Komba...
 
Last edited by a moderator:
nasikia James Millya ameachana na uamuzi wake wa kuhamia CDM na amekiomba radhi chama chake cha CCM. na hii ni baada ya Nanyaro kumwambia atakaa benchi kwa muda usiopungua miaka 5 bila hata cheo cha m/kiti wa kata CDM.

Anaongea sasa hivi live James Millya!
 
Ritz na wenzako nafurahi kwa kuwa mnafuatilia yanayoendelea,najua fika mnajifunza namna ya kuifanya ccm kije kuwa chama imara cha upinzani.Usijali madesa tutawapa.
 
Nimefika hapa uwanjani upepo ukiwa umetulia,baridi kama kawa hapa Arush na watu wameanza kujitokeza ktk mkutano huu uliomahsusi kuzindua mpango uitwao 'VUA GAMBA VAA GWANDA' karibuni sana ktk eneo hili maarufu 'chadema square' 2peane updates..

hivi chadema makao yao makuu siku hizi yako arusha? mbona hii mikutano inafanyika arusha mara kwa mara kwanini wasiitishe mikutano yao mikubwa bukoba, sumbawanga au iringa...au kwa vile ni rahisi kukamata precision air kutoka dar kwenda KIA au kwa sababu mbowe makao yake ni moshi na slaa ni arusha so ni rahisi kufanyia mikutano yao A-TOWN
 
ritz yaani leo toka asubhi umeng'ang'ania sijui CDM haiendi sehemu za kusini kwann unakua na uchungu na CDM?
Mshauri Nape aeneze chama na itikadi za kimagamba maana amejisahau pale Lumumba anapigwa AC na kitambi kinamkaribia Komba...

Manyanza kama vile nyie Chadema mnavyong'ang'ania Arusha kila siku mpo huko utadhani Tanzania nzima ni Arusha.
 
Last edited by a moderator:
hivi chadema makao yao makuu siku hizi yako arusha? mbona hii mikutano inafanyika arusha mara kwa mara kwanini wasiitishe mikutano yao mikubwa bukoba, sumbawanga au iringa...au kwa vile ni rahisi kukamata precision air kutoka dar kwenda KIA au kwa sababu mbowe makao yake ni moshi na slaa ni arusha so ni rahisi kufanyia mikutano yao A-TOWN
Nadhani ungeangalia na kusikiliza nini kinafanyika huko na kwa wakati gani! Mfano leo ni upokezi wa makamanda wa Arusha, sasa sijui unataka watu hawa wote waende Sumbawanga kupokelewa!! Subiri huko watakuja!!
 
Kila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.

Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.

Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.

na kule kwetu Ileje jamani nyee
 
Back
Top Bottom