Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
chadema dar es salaam imewashinda wana jiliwaza na arusha!
Kila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.
Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.
Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.
Mwanza sio tz? Mkutano wa lisu moro sio tz? Wa juz dom? Acha pumba.
chadema dar es salaam imewashinda wana jiliwaza na arusha!
Anasema atahakikisha umasaini CHADEMA inajikita kisawasawa na magamaba watajuta kumfahamu!
ccm itabidi wafanye kazi ya ziada kurudisha taasisi zao kama vile uvccm....
Aaaaa! mi Wa-Ukenyenge origino, huyo wa Mwawaza atakuwa feki aisde. Leta habari mkuu?Wa -Ukenyenge kweli au ni wa Mwawaza
ritz ametoa hoja ya maana sana,maeneo aliyoyataja ni muhimu sana kwa CDM kujijenga,ritz anasema kutokana na uzoefu wake katika magamba,maeneo hayo ndiyo ngome kuu zilizobaki za ccm,nimetoka Liwale leo nimeshangaa sana kuona bendera za chadema vijijini,ni suala tu la makamanda kutia timu maeneo hayo
Mkuu Heshima yako, Ahsante kwa uzi huu, natambua uwepo wako mkuu.Heshima yako WAUKENYEGE
dar es salaam ni mortuary ya mageuzi
umesahau azimio la arusha?Pamoja sana Makamanda lakini mbona kila siku Arusha tu Tanzania kubwa.