Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mbowe: wajibu wangu kama kiongozi ni kulinda umoja na mshikamano wa watu wetu.
Vijana wetu makamanda wana mto wa gesi.
Anasema kauli ya dogo janja ni kauli ya hamasa, si kauli ya chama.
Chama chetu kinahitaji mtwara, lindi kwa ajili ya ukombozi.
 
Kule Sumbawanga jimbo liko wazi mtasikia mziki wake- Heche!!

Mbowe; Pipooooooooooooooooooooz!!

Arusha nawaamini, nataka tupige pipoz pawa mpaka wale tumewakaribisha wajue wameingia katika moto wa gesi!!

Ndg zangu, CDM leo ni chama kinachojiandaa kuchuku Serikali kwa hiyo kila dk kila sekunde ni lazima tuzungumze mambo ya busara!! Nimekuja leo kzungumza mambo machache ya msingi

Umoja wetu kama Taifa, tunapenda makabila yote, dini zote, na watu wa kila aina, vijana wana moto wa gesi lakini inatokana na maudhi ya CCM, Kauli ya Dogo janja ilikuwa kauli ya hamasa..

Tanzania ni moja na tutapigana tukomboe nchi yote na sio nusu ya nchi

Tumekuja kuwapokea wenzetu walio toka CCM, ujio wa hawa watu una nia njema!!
 
Anasema watu wasiwe na hofu ya kupokea watu kutoka CCM na vyama vingine.

Anasema DR Slaa alik,ua CCM lakini leo anawakimbiza CCM mbaya.
Arfi,Makamu wake, Wenje, Wakina Kasulumbai na wengine wote walikua CCM lakini leo hii waninyanyasa CCM balaa.

Watu wasiwe na hofu na yeye kama mwenyekiti hatokubali kuona CDM inavurugwa na anataka wananchi wawaamini
 
Well done Mbowe!: - By refuting the statement of seccesion from dogojanja you have pre-empted CCM on the issue.This was one of my major concern about this statement. Unajua sometimes macho ya watu yawaweza kumfanya mtu akajikuta anatoa statement bila kufikiri. Japo ni freedom of speech ila CCM hawana dogo wanatafutia pa kutokea.
 
Tehetehe!!

Mbowe anapiga misumari!!

Hakuna mtu mwenye uwezo wa kumnunua Mbowe!!

Kama kuna mtu ana ndoto kuvuruga CDM amepotea..

Huku hakuna msosi, huku ni gwanda na mzigo!!
 
Makamanda wekeni mavituzi hapa kuhusu swaga zinazomwagwa na master wa anga.Ritz,Rejao,kuneng'e na magamba wote wajiandae kuvaa gwanda kunzia sasa maana hawana jipya kwa chama cha mafisadi la sivyo watakuwa chakula cha wananchi kabla ya 2015.Pipooooz pawa ni NOUMA MAZEE NI KIAMA KWA CCM ZAID YA TSUNAMI.Hakuna kulala mpaka kieleweke!!.Kufa gamba fufuka gwanda .Makamanda angusheni updates hapa!
 
mawazir waliochaguliwa jana 9 wanahamia cdm-mbowe
 
Mbowe: Ccm kama wanadhan millya ni dili kuna wabunge 70 wameomba kuhamia cdm na kati ya mawaziri anaotegemea kuwaapisha juma3, 9 wameomba kuhamia cdm.
 
Kwa taarifa, namwambia Nape katika wabunge 200 wa CCM, 70 wameshaomba nafasi!!

Wakichelewa tunafunga safina,

Kikwete katika baraza lako la mawaziri unaloapisha j3, 9 wameshabuku nafasi..

Sasa anayesema CCM ipo ni nani??

Jana Kikwete amevunja katiba mara mbili
Baraza la mawaziri linchaguliwa toka miongoni mwa wabunge, wabunge hawajaapishwa lakini wanakuwa mawaziri!

Tunamsubiri Kikwete Dodoma na Baraza lake la mawazi!! Lituambie limepata wapi madaraka na hao mawaziri wliopewa vyeo bandia tunataka watueleze ni wapi wamepata mamlaka hayo.
 
Aisee, mambo yanayoongewa hapa, ni soo.
nasikiza online. Kumbe katiba imevunjwa,
Kikwete kuchagua mbunge saa nane, kumchagua waziri saa tisa - then kumkabidhi nyara za serikali, ingawa bado hajaapishwa.
 
Nidhamu ipo na itaendelea kuwepo, viva KAMANDA
 
Arusha mambo Bab Kubwa! Inakamata Crystal Clear. Mbowe anashuka nondo vyema
 
Mbowe: jk kavunja katba kateua mbunge saa4 saa 9 akamteua waziri kabla ya kuapa.
 
Back
Top Bottom