Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

hivi chadema makao yao makuu siku hizi yako arusha? mbona hii mikutano inafanyika arusha mara kwa mara kwanini wasiitishe mikutano yao mikubwa bukoba, sumbawanga au iringa...au kwa vile ni rahisi kukamata precision air kutoka dar kwenda KIA au kwa sababu mbowe makao yake ni moshi na slaa ni arusha so ni rahisi kufanyia mikutano yao A-TOWN
Mwanza sio tz? Mkutano wa lisu moro sio tz? Wa juz dom? Acha pumba.
 
Neno la mwisho; Wale wanadhani watatumaliza kwa silaha zao hawataweza,

Ole Millya; Pipooooooooooooooooooooz, Wamasai pipooooooooooooz!!

Itifaki inazingatiwa naona!!

Nimeamua peke yangu, kuachia nafasi zangu zote kwa kuwa dhamira ya CCM ni kujaza mifuko ya wachache na kututupa sisi walala hoi!! Nashukuru kwa kuwa mmekuwa nami bega kwa bega toka nitoke CCm hadi sasa!!

Nawahakikishia nilikuwa katika vikao vikuu vya CCM, nitahakikisha CDM imejikita umasaini..

Leo nimepewa rungu nami nawahakikishia kwamba toka nizaliwe CCM haijafanya chochote toka uhuru, Ndg zangu wamasai Ngorongoro imechukuliwa, serengeti imechukuliwa na tumebaki bila kitu..

Agenda ya CDM kuhusu katba CCM imedandia, kuwajibisha vingozi wamedakia aibu yao

Sababuu kuondoka CCM;

  1. Ni chama kinachokufa, waliobaki huko ni vijana wanaonyemelea udc na vyeo vingine
  2. hakuna dhamira ya kutumikia wananchi ila kuna power struggle kila mtu anataka kuwa raisi
  3. makundi, toka rais hadi shinani ni makundi..
  4. falsafa ya CDM, it is in peoples power, madaraka ni kuheshimu wanaotoa madaraka
  5. maisha magumu na kiburi cha watawala
 
This is a very nice update from "CDM SQUARE":clap2:
 
James ole Milya JUKWAANI!

Sababu za kuondoka CCM

1. IMEKUFA
dhamira njema ya kuwatumikia wananchi haipo!

2. Sitaki kuwa sehemu ya makundi yanayopigania maslahi binafsi.

3. Hawana heshima kwa dhamana waliyopewa na wananchi; mfano kauli ya Magufuli Kigamboni
"... asiyemudu bei apige mbizi"!
 
Tunaanzisha operesheni kwani kuiondoa CCM ni rahisi sana, tunaitaka Serikali ilete daftari la wapiga kura tujiandikishe tupige kura na tulinde kura, - Milya
 
Sasa Milya kashaweza kusema Peooooooples na anakiri atajivunza kadiri iwezekanavyo ili amatch vizuri na gwaride la Chadema. Lakini naona kama hawezi Swaga za jukwaa vizuri
 
hivi chadema makao yao makuu siku hizi yako arusha? mbona hii mikutano inafanyika arusha mara kwa mara kwanini wasiitishe mikutano yao mikubwa bukoba, sumbawanga au iringa...au kwa vile ni rahisi kukamata precision air kutoka dar kwenda KIA au kwa sababu mbowe makao yake ni moshi na slaa ni arusha so ni rahisi kufanyia mikutano yao A-TOWN



Kwani Julius Kambarage Nyerere alipoamua Azimio la Arusha liwe Arusha, kwani huko ndo yalikuwa makao makuu ya ya TANU???
 
Millya: Cdm mnihukumu kwa vitendo sio hisia, ccm wananiita gamba lakin kitu ntaenda fanya hawataamini.
 

Attachments

  • Photo0014.jpg
    Photo0014.jpg
    50.6 KB · Views: 94
Anasema atahakikisha umasaini CHADEMA inajikita kisawasawa na magamaba watajuta kumfahamu!
 
Ushauri wako una tija sana, nadhani hata wakuu wameliona hili na ndio maana magamba mengine saa hizi yanavaa gwanda kule morogoro, uwanja wa kichangani/ninja pale maeneo ya mwembesongo. Nafikiri mlioko huko mtatujuza nini kinaendelea....tundu lissu, halima mdee na makamanda kibao wako huko.
 
IMG_0912.jpg IMG_0919.jpg
IMG_0913.jpg
IMG_0914.jpg
IMG_0916.jpg
IMG_0917.jpg
IMG_0918.jpg IMG_0920.jpg
Baada ya kuona makamanda wanaendelea vema kuripoti yanayoendelea NMC nimeona bpra nishughulie na picha zaidi


Mods itakuwa vema kama mtaziweka picha hizi kwenye thread

Asante sana
 
Safi sana Alphonce Mawazo, Ulipovua Gamba walikudharau na kusema hukuona mbali...nena yote wananchi wayajue wazi.
 
Millya: Cdm mnihukumu kwa vitendo sio hisia, ccm wananiita gamba lakin kitu ntaenda fanya hawataamini.

Mbona kuna wana JF walisema amesepa. Jamani hili sio jukwaa la mipasho. hapa kuna great thinkers. Sasa kama unataka kupiga propaganda zako binafsi ni vizuri ukaenda uhuru na mzalendo.
 
Kama mbunge nadhani Nassari ajifunze vya kuongea jukwaani.
Arusha haina mbunge na sidhani kama anauwezo wa kuamrisha machinga wasitoke maeneo wanayoambiwa watoke .

Nadhani ndugu zetu CHADEMA wanote hili. Ameshakua kiongozi kwa hiyo aact kama kiongozi.
 
Back
Top Bottom