Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,047
ccm arusha imekufa
Tukaizike wapi maana hata kabri lake hatutaki kuliona, au tuichome moto na majivu tyapeleke baharini?
ccm arusha imekufa
Mambo ni mambo, Ole Milya anakabidhiwa kazi ya kuleta ukombozi na malaigwanan[/QU salam zao
Tukaizike wapi maana hata kabri lake hatutaki kuliona, au tuichome moto na majivu tyapeleke baharini?
wakina tomaso angalieni post ya pili
walikuwa wanaimanisha kwamba chadema si chama cha siasa bali ni mkusanyiko wa wanaharakatiWazee wanazungumza kimaasai!! ninaambulia neno CHADEMA tu!!
Tehetehe!
Izak Subira mfinanga M/kiti Serikali ya mtaa Temi!!
Yohana Laizer, katibu UVCCM Longido avua gamba anavaa gwanda
Ally Bananga, anavua gamba anavaa gwanda yuko na mama yake na mdogo wake na mke wake!
Tehetehetehe, kazi ipo hapo NMC lol!

Lema anaongea!
kaanza kwa kumkosoa MC kuwa yeye si 'rafiki yetu' bali ni Mbunge wa Arusha Mjini!
watu weweeeee..!
Dogo Janja Joshua Nassari ghafla jukwaani ...!
Safi sana mkuu kwa update zako. keep it up[/QU karibun kwetu pazuri hamna mizengo wala makinda
Nadhani Ndugu yangu wewe umelala unayedhani kuwa CDM iko kanda ya kaskazini tuu!!! Mbona juzi mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi karudisha kadi na kupewa kadi ya CDM na watu maarufu 20 na zaidi. Kyaka Burifani CHADEMA kimeshinda uwenyekiti wa kijiji, hata Chato kwa Mhesimiwa Mgufuli tumusimika Mwenyekiti na watu kibao wamerudisha kadi za CCM!!! Wacheni hizo siasa zenu za kujidanganya moto wa CHADEMA unawaka nchi nzima ya Tanzania!!!Chadema Iringa, Mbeya, Mwanza, hamna mahali pa kuchomokea kubali mmekwisha!!!!