Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
We mzima kweli kwani zito ndiyo karusha mawe?Hii ni aibu ya Zitto, kwa hizi vurugu naamini kamati kuu walikua sahihi kumtosa zitto.!!
We mzima kweli kwani zito ndiyo karusha mawe?Hii ni aibu ya Zitto, kwa hizi vurugu naamini kamati kuu walikua sahihi kumtosa zitto.!!
Jamani, huyu Babu Slaa mbona anawapa kazi kubwa polisi? Kwa nini amekuwa mkaidi kiasi hicho?Mkutano wa Dr Slaa Kasulu wavunjika baada ya vijana wapatao 15 kurusha mawe na kufanya vurugu, Polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya.
kila mtu atavuna alichopanda-SLAA kaanzisha chuki ndani ya chama akisahau ile kanuni ya Newton-ACTION and REACTION are equal but in opposite DIRECTION-sasa ajue na yeye aonje joto la jiwe-afadhali mtoto wa ZZK ni mkubwa, SLAA mtoto wake kwa MSHUMBUSI ndo kwanza anatambaa anataka kutuachia yatima huyu mzee
Habari kama hizi habari hazina uhakika kabisa. Maccm wako kwa gharama yoyote kukwamisha ziara ya Dr Slaa kigoma sijui faida yake Ni nini?? Ila moderators huyu aloleta hii post ya kizushi NA una kizandiki kwanini msimle burn ya milele?
Shonza upo dada yangu vp kaserengeti ka blk 6 Udom vp kanakuliwaza vyema baada ya Savimbi kukutumia na kukutema?Wakuu,taarifa za kusikitisha ni kwamba Mkutano wa Dr.slaa umevunjika Kasulu,amepigwa mawee na vijana wasiojulikana akiwa Jukwaani,Polisi wanapiga mabomu ya Machozi Muda huu kutawanya watu,haijulikani Slaa ameumizwa kiasi gani lakini polisi wamewahi kumuokoa na kumtorosha kusikojulikana.
hali ni tete wakuu,naomba Munipe muda wa kuwawekea Picha hapa.
Pia awali Mkutano ukiwa unaendelea,Waitara ambaye ni Mkurugenzi wa CHADEMA alitangaza kuwa Matamko na mambo mengine yote ya kumtibulia Dr.slaa yanaratibiwa na Kijana Habib Mchange na Diwani mmoja wa Mwanza(Hakutaja jina).
MODS naamini mnawatu KASULU,wapigieni simu MUDA huu,Mpigieni Tumaini Makene mjue Ukweli huu.naomba muiache Post watu wachangie
Hii ni aibu ya Zitto, kwa hizi vurugu naamini kamati kuu walikua sahihi kumtosa zitto.!!
Wakuu,taarifa za kusikitisha ni kwamba Mkutano wa Dr.slaa umevunjika Kasulu,amepigwa mawee na vijana wasiojulikana akiwa Jukwaani,Polisi wanapiga mabomu ya Machozi Muda huu kutawanya watu,haijulikani Slaa ameumizwa kiasi gani lakini polisi wamewahi kumuokoa na kumtorosha kusikojulikana.
hali ni tete wakuu,naomba Munipe muda wa kuwawekea Picha hapa.
Pia awali Mkutano ukiwa unaendelea,Waitara ambaye ni Mkurugenzi wa CHADEMA alitangaza kuwa Matamko na mambo mengine yote ya kumtibulia Dr.slaa yanaratibiwa na Kijana Habib Mchange na Diwani mmoja wa Mwanza(Hakutaja jina).
MODS naamini mnawatu KASULU,wapigieni simu MUDA huu,Mpigieni Tumaini Makene mjue Ukweli huu.naomba muiache Post watu wachangie
Mkutano umeisha salama licha ya jaribio la vijana wenye mabamgo kutaka kuvuruga,
Polisi walitaka kutumia nguvu kuwakamata vijana hao lakini Dr Slaa akawaomba wawache na wasogeebele watoe madukuduku yao,
Hakuna uvunjifu wa mkutano, umeisha salama kabisa!
Mkuu, hilo ni jinamizi la Zitto linawaandama. Yaani siku hizi hata akinyimwa maji ya kuoga na mke wake atasingizia ZittoWe mzima kweli kwani zito ndiyo karusha mawe?
poor slaa na ule uzee vitofa kapona kweli?
Hayo yanayomkumba Slaa Kigoma ni mwanzo tu, tutegemee hayo-hayo hata Mbowe atapokwenda Mwanza.
Chadema wakitaka salama yao wamfukuze Zitto, hii kumwacha hanging ina wa cost vibaya sana lakini hawajijui.
Mnangoja nini hamumfukuzi Zitto kwenye chama chenu cha kibaguzi? Sisi CCM tutamkaribisha na tutampa uwaziri.
Lema ***** tu hajielewi....anatumiwa tuu mwisho wa cku na ye atapgwa chini.....Halaaa ZZK
Huu ni Upumbavu!we ulishaambiwa hali sio mzuri na wawakilishi wako,alafu unaenda?utakufa watu wa huko ni wa maziwa makuu,kuuwa ni mambo ya kawaida.Tatizo lako Hushauriki.
Habari kama hizi habari hazina uhakika kabisa. Maccm wako kwa gharama yoyote kukwamisha ziara ya Dr Slaa kigoma sijui faida yake Ni nini?? Ila moderators huyu aloleta hii post ya kizushi NA una kizandiki kwanini msimle burn ya milele?
Acha uzushi wewe! Basi lililopita ni la World Vision tu na halikushusha watu. Waliokuwa wanarusha mawe ni vijana waliokuwa upande wa TRA na ndio walikuwa na mabango. Maboku ya machozi kweli yalirushwa. Uwe unasema ukweli
Unaiamini vipi ilhali Yeriko hajafuatana na Slaa huko kigoma? Yeriko yupo Dar es salaam na amepost hivyo ili kuneutralize mambo ingawa hajafanikiwaAsante mkuu Yerico!! Hii taarifa yako ndo naiamini kuliko ya mleta uzi gamba
Jamani, huyu Babu Slaa mbona anawapa kazi kubwa polisi? Kwa nini amekuwa mkaidi kiasi hicho?