Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

kila mtu atavuna alichopanda-SLAA kaanzisha chuki ndani ya chama akisahau ile kanuni ya Newton-ACTION and REACTION are equal but in opposite DIRECTION-sasa ajue na yeye aonje joto la jiwe-afadhali mtoto wa ZZK ni mkubwa, SLAA mtoto wake kwa MSHUMBUSI ndo kwanza anatambaa anataka kutuachia yatima huyu mzee
Chadema hakifugi wahsaliti, na nina kuhakikishia wote watangoka....
 
Wanampiga mawe Rais mtarajiwa? Watakuja kunywa maji kwa karai vinginevyo awasamehe bure kama Hayati Rohdlahla
 
Na apigwe tu maana amezidi kuwa mkaidi. Mtu gani hata hajifunzi kusoma alama za nyakati?
 
Mkutano umeisha salama licha ya jaribio la vijana wenye mabamgo kutaka kuvuruga,

Polisi walitaka kutumia nguvu kuwakamata vijana hao lakini Dr Slaa akawaomba wawache na wasogeebele watoe madukuduku yao,

Hakuna uvunjifu wa mkutano, umeisha salama kabisa!
 
Good news, baada ya kutekeleza mpango huu, hawana tena nguvu za kuendelea, they are on the run.
Go DR go.
Habari hii ina ukweli maana naona kurugenzi ya habari nayo hatoi habari kwa wakati inaacha watu wapotoshwe ,ni kazi kusafisha uongo kuwa ukweli ikibidi ni bora kuwahi ukweli kablaya uongo.
 
Wakuu,taarifa za kusikitisha ni kwamba Mkutano wa Dr.slaa umevunjika Kasulu,amepigwa mawee na vijana wasiojulikana akiwa Jukwaani,Polisi wanapiga mabomu ya Machozi Muda huu kutawanya watu,haijulikani Slaa ameumizwa kiasi gani lakini polisi wamewahi kumuokoa na kumtorosha kusikojulikana.
hali ni tete wakuu,naomba Munipe muda wa kuwawekea Picha hapa.
Pia awali Mkutano ukiwa unaendelea,Waitara ambaye ni Mkurugenzi wa CHADEMA alitangaza kuwa Matamko na mambo mengine yote ya kumtibulia Dr.slaa yanaratibiwa na Kijana Habib Mchange na Diwani mmoja wa Mwanza(Hakutaja jina).

MODS naamini mnawatu KASULU,wapigieni simu MUDA huu,Mpigieni Tumaini Makene mjue Ukweli huu.naomba muiache Post watu wachangie
kama stori hii ni ya ukweli basi mtu wa kwanza polisi inabidi kumuoji itakuwa ni wewe kwani kulingana na timing ya post yako unaonekana kuwa na mawasiliano ya karibu sana na kinachoendelea ktk vurugu hizi maana unaonekana kushabikia na kushangilia vurugu.
 
Aisee kazi ipo,Kusema ukweli kwa mfano kusingekuwa na issue ya Zitto,Slaa kweli angefanya hiyo ziara?
 
Nafurahi sana kuona elimu tunayoitoa humu ndani inawafikia wananchi wote na chama kinatusaidia kwa wale wasiotuamini waamini sasa kutokana na matendo yao.
 
Dr wetu ndo mkombozi wetu
Hawa maccm hadi waondoke madarakani
Haiwezekani hata watu wamefilisika kujitambua hata uwezo wa kufikiri haupo
Ukienda nchi za ulaya huwezi kumkuta mtu hata mmoja anashabikia ujinga ili hali anaona wenzake
wanapata shida hivyo, watoto wanakufa kila siku kwa sababu ya huduma mbovu
EE Mungu ingia akili mwa hawa watz wamekosa direction
Mimi napatwa uchungu sana kumwona mtz yoyote yule anapata shida sitizami chama
CCM ni chama cha wauaji hili mlielewe watz wenzangu
Itafikia mahali tutaanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe
Angali central africa wanauana hadi basi
Tuwakemee hawa viongozi wanakotupeleka siko
Tujenge nchi nzuri ya vizazi vijavyo
Watz wenzangu nini kimetuingilia vichwani hatutaki kusikia
Haiwezekani 52 years for rulling and nothing new we have to argue
 
Wakuu,taarifa za kusikitisha ni kwamba Mkutano wa Dr.slaa umevunjika Kasulu,amepigwa mawee na vijana wasiojulikana akiwa Jukwaani,Polisi wanapiga mabomu ya Machozi Muda huu kutawanya watu,haijulikani Slaa ameumizwa kiasi gani lakini polisi wamewahi kumuokoa na kumtorosha kusikojulikana.
hali ni tete wakuu,naomba Munipe muda wa kuwawekea Picha hapa.
Pia awali Mkutano ukiwa unaendelea,Waitara ambaye ni Mkurugenzi wa CHADEMA alitangaza kuwa Matamko na mambo mengine yote ya kumtibulia Dr.slaa yanaratibiwa na Kijana Habib Mchange na Diwani mmoja wa Mwanza(Hakutaja jina).

MODS naamini mnawatu KASULU,wapigieni simu MUDA huu,Mpigieni Tumaini Makene mjue Ukweli huu.naomba muiache Post watu wachangie
Wakuu,taarifa za kusikitisha ni kwamba Mkutano wa Dr.slaa umevunjika Kasuluamepigwa mawee na vijana wasiojulikana akiwa jukwaani,Polisi wanapiga mabomu ya machozi muda huu,kutawanya watu haijulikani Slaa ameumizwa kiasi gani lakini Polisi wamewahi kumuokoa na kumtorosha kusikojulikana.​Hapo kwenye nyekundu hapo.​
 
Back
Top Bottom