Wadau,
Dr. Slaa alitangaza rasmi kuufunga mjadala wa sakata la Zitto hadharani mpaka hapo Zitto na wenzake watakapojibu tuhuma 11 wanazoshutumiwa.
Kijana wa Mtei, Godbless Lema ambaye anajulikana kutokuweza kuguswa na yeyote ndani ya chama kutokana na proximity yake na Mzee Mtei, kwa mara nyingine amemvunjia heshima Dr. Slaa kwa kuzungumzia swala hilo kwenye mkutano wa hadhara huko Arusha.
Lema, alienda mbali zaidi na kutangaza kumvua uanachama Zitto, jambo ambalo linaingilia process nzima ya utoaji haki na hukumu kwenye sakata hili.
Nakumbuka wadau wa hapa jukwaani kama Yericko Nyerere na sisimizi wengine walifunga mabakuli yao kwa kuogopa kuadhubiwa baada ya Katibu Mkuu kupiga marufuku kuliongelea swala hili.
Inasikitisha kuona Lema anaiendesha Chadema kama duka la kandambili!
Alichokifanya Lema leo kingefanywa na
Mohamedi Mtoi au
Mwita Maranya ni hakika kuwa adhabu kubwa ingekuwa juu yao ASAP.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...