Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

Naona lema kama kawaida katumwa kuropoka na makamanda wake mnashangilia. hivi hii tuhuma anayo hisema lema mbona hamku hisema mbele ya wana habari?au hipo kwenye barua.

Kwa style hii chadema inaweza kubakiwa na lema,lissu,slaa na mbowe+Mtei.
Lema endelea kuchimba kaburi la chadema sisi tutashiriki matanga 2015
Jamani ukweli umeingia kuwa zk ana sifa za kupoteza uanachama na sio kuwa mwanachama
Chezea CHADEMA YATOSHA
 
Hivi nyie chadema kuna usaliti zaidi ya kujikopesha pesa za wananchi na kurudisha bila riba?

Kuna usaliti zaidi ya kusajili kitu kama chama cha siasa kumbe saccos?

Kwa style hii hata kamanda wq kikosi cha lema bwana Mungi ni msaliti,maana wakati chama chake kimeikana report hile yenye tuhuma juu ya zitto na iliyovsemekana kukwapuriwa makao makuu yeye Kamanda Mungi alisema hile report ni ya kweli na chadema wame hikana kwa mkakati mahususi

Kwa hiyo Kamanda wa lema usishangae na wewe ukafukuzwa na kuitwa msaliti japo Mtei ana kufahamu.
Sidhani kama kwenye hao watu 45 utakosekana.

Wanao sajili chama ndani ya chama ni wahaini
 
Jamani ukweli umeingia kuwa zk ana sifa za kupoteza uanachama na sio kuwa mwanachama
Chezea CHADEMA YATOSHA

Umasikini wa kwanza tulionao tanzania ni Chadema na maumivu makubwa tuliyonayo ni ccm sasa naweka maneno yako hapa :
CHADEMA YYATOSHA=UMASIKINI WATOSHA. NOW CDM+ccm=TANZANIA KUANGAMIA
 
Mkutano wa chadema umeanza muda katika uwanja wa Ngarenaro, amezungumza Diwani Doita
anasema;
Halmashauri ya arusha imekuwa ikifanya mambo sivyo, kwa kuwa sasa ni katibu wa elimu na afya atashughulikia swala la rushwa hospitali, na michango mashuleni kwani kuna mil 900 iko haina kazi na sasa amemshauri mkurugenzi zika nunue madawati, yeye kama mwenyekiti hataki michango mashuleni, na wazazi msikubali kupitisha michango mbalimbali.

Doita anasema Sisi kama wanasiasa siyo kwamba tunaingilia walimu wakuu ila kwa hawa wanaokuja na njaa njaa zao tutapigana nao

Updates;
Anazungumza James Ole Milya, anasema chama kibaki kwa wananchi, hatuwezi kutaka magugu ndani ya ccm yatolewe wakati kwetu kuna magugu, tunatoa kwanza kwetu.

Milya anasema Simbachawene ni mpumba anaposema tutumie kibatari je computer, viwanda navyo vitumie vibatari, hili ni tatizo la kuweka waziri ambaye hata jimboni kwake hana umeme na hana uelewa anajua umeme ni kwaajili ya kuwasha taa..
Milya anasema sijutii kuondoka ccm, ninaomba kamati kuu tukaamshe vijijini..nina hasira na ccm na tukiwachekea watatumaliza, Mulongo ameendelea kuwa muongo, anasema baada ya div 5 wataenda mpaka div 7...

Ally Bananga anasema mfungwa anatamani kurudi gerezani, hawa mabwege wanafanya mabaya sana, ccm wajue wakitengeneza picha wajue watazanzania wanataka maji. Elimu bora,ajira kwa vijana..

haya matusi watoto hawakuwa wakisikia?
 
Hivi nyie chadema kuna usaliti zaidi ya kujikopesha pesa za wananchi na kurudisha bila riba?

Kuna usaliti zaidi ya kusajili kitu kama chama cha siasa kumbe saccos?

Kwa style hii hata kamanda wq kikosi cha lema bwana Mungi ni msaliti,maana wakati chama chake kimeikana report hile yenye tuhuma juu ya zitto na iliyovsemekana kukwapuriwa makao makuu yeye Kamanda Mungi alisema hile report ni ya kweli na chadema wame hikana kwa mkakati mahususi

Kwa hiyo Kamanda wa lema usishangae na wewe ukafukuzwa na kuitwa msaliti japo Mtei ana kufahamu.
Sidhani kama kwenye hao watu 45 utakosekana.

Nadhani hujui usemalo.Vipi kujichuliwa moja kwa moja?CCm si huwa hawarudishi kabisa na huwa wanachukua nyingi sana.

Pengine unataka thibitisha makusudi kuwa CDM ni chama cha kitaifa.Sasa wangeweka riba si wangekuwa wanawakwaza waislam?

Upuuzi ktk CCM ni km mazi na kinyeo.
 
Hapa hadanganywi mtu.
Kodi wananchi wanatoa kwa ajili ya Maendeleo ya Taifa,Na sio kila siku michango Sifuri ni ccm haijui kuchambua sera.

wananchi gani, hawa wanaokataa EFD au wafanyakazi watiifu wanaokatwa mishahara yao kila mwezi?
 
updates
Mh Nanyaro anawashukuru wana wa Arusha kwa kuwaongezea madiwani, hivi sasa maamuzi mengi halmashauri, yanafanywa na Cdm, sasa wameweza kujenga madarasa 52 kwa hela za halmashauri,
Anamtambulisha naibu meya Msofe na kusema hadi sasa hakuna muafaka na ccm kuhusu meya ila kuna naibu meya aliyechaguliwa na vyama vyote

chadema fanyeni kazi
 
Kweli zama za Chadema zimeisha mkutano wa Chadema umepata wachangiaji page 4 mpaka sasa.
 
Lema anasema chama taasisi na hakuna sliye mkubwa kuliko taasisi kama ambsvyo padri akiasi anafukuzwa lakini halifi
 
Uzuri tunajua lema katumwa kuyaongea haya. hivi kuna mpuuzi chadema zaidi ya mwenye kiti wa chadema baunsa?
Lema;
Hatuwezi kuvumilia upuuzi wa Zitto, chadema ni mpango wa Mungu haitakufa kwa propaganda za ccm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Chadema inadonga mbeoe wananchi wamempiga marufuku Zitto kukanyaga Arusha
Sheria za nchi zinamruhusu kila mtanzania kwenda sehemu yeyote, nyie na ubaguzi wenu wa ukabila hamtaki watu wafike Arusha nyie mbona mpo Dar.
 
Chadema inapewa mabilioni ya ruzuku lakini leo baada ya mkutano wamechangisha watu waliohudhuria.

Kwa akili za huyo diwani anaona kuchangia chadema ni muhimu kuliko kuchangia elimu!!!
Mbona elimu yako haiendani na utahira unauweka hapa jukwaani au umewekewa mavi kichwani na CCM au unawalamaba mabosi wako makalio ili mwaka 2015 upitishwe moro baada ya kupigwa chini mwaka juzi...
 
Mkuu chadema inatoa mikopo kwa wana chama wote au ni Dr slaa tuu?
Nadhani hujui usemalo.Vipi kujichuliwa moja kwa moja?CCm si huwa hawarudishi kabisa na huwa wanachukua nyingi sana.

Pengine unataka thibitisha makusudi kuwa CDM ni chama cha kitaifa.Sasa wangeweka riba si wangekuwa wanawakwaza waislam?

Upuuzi ktk CCM ni km mazi na kinyeo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom