Pongezi kwa Naibu Meya, lakini in the future tuachane na misaada ambayo baadaye tunarudisha kwa riba kubwa, mfano hizo bilioni 20 will take ages and ages kuzilipa.
Tanzania tuna rasilimali kibao ambazo zinatosha kuendesha uchumi wa nchi na kuboresha maisha ya watanzania.
Imani ya chadema kwa watanzania ni kuujenga uchumi imara kwa rasilimali zetu wenyewe.
Dr.W.Slaa aliwahi kusema hivi "CHADEMA does not believe in foreign aid" akaongeza na hiki "Foreign aid is a relief only for the countries coming out of calamities (like rwanda genocide)"
Pongezi kwa Msoffe kuthubutu jambo ambalo ccm hawajawahi kuifikiria!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums