Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

Wanajamvi

Wakihutubia akiwemo Wakili James Milya, Madiwani, Viongozi wa CHADEMA ARUSHA Wameunga mkono kuvuliwa uanachama Zitto na Wenzake wakiwaita wasaliti, magugu,nk.

Hebu tujadili hoja aliyojenga pia Mhe Mbunge wa Lema katika hotuba yake kuwa mhe. Zitto ana Sifa ya kutokuwa mwanachama kutokana na usaliti, kuuza wagombea kwa ccm akirejea jimbo la mhe N. mkono na mambo aliyoshiriki na kushirikishwa ukiwemo waraka.

Wakati Kiongozi Golugwa amekiri wasaliti 4 ndo wamewakamata 46 watawanasa tu kwani walikuwa 50.

Je? ni kweli Mhe Zitto na Wenzake tuhuma 11 tusizo fahamu kwa sasa kwa tunazofahamu wameshiriki au wamehusishwa;

Zinatosheleza vigezo vya kutokuwa wanachama?

Kama wenzetu Waheshimiwa madiwani, Wabunge na Viongozi walivyotuhabarisha au kutuelimisha wanakosa sifa za kuendelea kuwa wanachama.

Source. Arusha mkutano wa madiwani na mbunge kwa Wananchi.

Naomba kuwasilisha.

Mods naomba Tafadhali, msiunganishe ina hoja ya Wana jamvi kujadili kama wenzetu wanapoteza sifa za kuwa mwanachama wa CHADEMA
 
Uzuri tunajua lema katumwa kuyaongea haya. hivi kuna mpuuzi chadema zaidi ya mwenye kiti wa chadema baunsa?

sisi wanancha chadema ndiyo tunayemtaka aendelee kuwa mwenyekiti hatumtaki huyo tahira wenu kama mnamtaka mchukueni kwenye chama cha mafisadi..
 
zitto na wenzie wana sifa zote za kufukuzwa uwanachama ndiyo maana wanawaka sana kwenye vyombo vya habari
 
Sidhani kama ni wananchi labda useme ni lema ndio ame mpiga marufuku.
Siasa za hivi mwisho wake mwakani.
Hivi lema na wananchi wa Arusha wana mamlaka gani kumkataza zitto kuja Arusha?
Lema ana anza kuchanganyikiwa kabisa.

QUOTE=Martin
Jr;7952451]Chadema inadonga mbeoe wananchi wamempiga marufuku Zitto kukanyaga Arusha[/QUOTE]
 
Mkuu acha matusi.
Hivi kwa nini Mbowe anaogopa sanduku la kura?

sisi wanancha chadema ndiyo tunayemtaka aendelee kuwa mwenyekiti hatumtaki huyo tahira wenu kama mnamtaka mchukueni kwenye chama cha mafisadi..
 
Chama cha lema haya sasa mwenyechama kasema zitto jiandae kufukuzwa kweli chadema hakina adabu mtu yeyote wa arusha na kilmanjaro anauwezo wa kumfukuza mwanachama kwenye chama mtafukuza wangapi basi tangazeni kuwa mnataka kubaki peke yenu kwenye chama.
 
Tunaomba uwakumbushe kutolea ufafanuzi mambo yafuatayo.

Chama kina kopesha wana chama wake?

Wanao kopeshwa wanarudisha na riba?

Ni lini chama kitajenga makao makuu na kuondokana na swala la kupangisha.

Ni kipengele kipi kwenye katiba ya chadema kina ruhusu mwanachama kumpiga tofali la kichwa mwanachama mwenzie anapo kosea?

Pesa wanazo changa wananchi zina kwenda wapi mbona huko mikoani hakuna ofisi?

Chama kipo tayari kuendelea kutonywa kinapo taka kufanyiwa ukaguzi wa pesa za wananchi?

cc Godbless J Lema
Henry Kilewo
Joshua nasary

Na mimi nakutuma ukaulize haya ndani ya CCM - Ni lini tutakuwa na umeme wa uhakika ili tujikomboe kiuchumi na kuepukana na majibu mepesi na dharau juu yetu sisi wananchi?

Pili - Ni lini wananchi tutaacha kupigwa na vyombo vya dola pale tunapodai haki zetu za msingi tena baada ya kupuuziwa?

Tatu - Ni lini tutakuwa na Elimu isiyo yumba kila kukicha?

Kwa ufupi ni haya machache tu ila naelewa hata wewe unayajua mengi tu na siku ukiweka ushabiki wa siasa nyuma na kuweka utaifa mbele utaelewa somo.
 
Zitto must read to get out, The mistake,s he made is to long to forgiveness!!!
 
Kweli zama za Chadema zimeisha mkutano wa Chadema umepata wachangiaji page 4 mpaka sasa.

Zama za chama zinaisha kwa kujua idadi ya page za Jf zilizochangiwa. Kweli walimu kazi yenu mbichi na elimu bado inasafari ndefu

Usitake niamini ulistahili division 5 ya Prof Mchome elimu yako ya kidato cha nne.
 
Watu kila siku wanachangia harusi halafu anakuja mwanasiasa anawakataza kuchagia elimu!

Hivi elimu na harusi kipi muhimu?

Chadema sifuri kabisa...
ZeMarcopolo naomba unielimishe kazi ya kodi tunazokatwa na zinazopanda kila kukicha.
Ni sadaka au?
 
Last edited by a moderator:
Kweli zama za Chadema zimeisha mkutano wa Chadema umepata wachangiaji page 4 mpaka sasa.

Zama za chama zinaisha kwa kujua idadi ya page za Jf zilizochangiwa. Kweli walimu kazi yenu mbichi na elimu bado inasafari ndefu

Usitake niamini ulistahili division 5 ya Prof Mchome elimu yako ya kidato cha nne.
Kwani zama zinadumu au kwisha kwa kuminya keyboard? kupost au reply
 
Kweli zama za Chadema zimeisha mkutano wa Chadema umepata wachangiaji page 4 mpaka sasa.

Zama za chama zinaisha kwa kujua idadi ya page za Jf zilizochangiwa. Kweli walimu kazi yenu mbichi na elimu bado inasafari ndefu

Usitake niamini ulistahili division 5 ya Prof elimu yako ya kidato cha nne.
Kwani zama zinadumu au kwisha kwa kuminya keyboard? kupost au reply
 
Back
Top Bottom