Hawa Chadema ni mbulula kabisaaa! Haiwezekani tukaendelea kuhubiri watu kwamba wasichangie maendeleo yao, yaani wanachi wazae tu, serikali isomeshe, iondoe karo, michango, daftari itoe bure, peni bure! After all what is serikali km si kila mwanachi? Huu ni uenda wazimu, dhana ya shule za umma sio kwamba serikali itoe bure kila kitu hii nikuwafanya wanaopewa elimu wasiwe na moyo wa kuipenda elimu, make si wanaona ni vya bure! Haiwezekani kabisa huu ni utoto! Chadema achaeni kutengeneza " the irresponsible society" Cheap popularity!