Huyu mzee unajua hana jipya kwa kuwa anachotaka yeye ni kugombea urais tu, Mimi nashangaa anaposikitika watanzania kutokuwa na Umeme wakati yeye alikuwa wakwanza kumaliza swala la Richmond/Dowans pale Bungeni.
Kibaya zaidi ni swala kukana kuwepo kwenye CCJ wakati alikuwepo, swali langu ni kwamba kwani akikubali tatizo liko wapi? au kwa vile imekufa?
Aache unafiki huyu mzee, hatutaki viongozi wanafiki kama Sita, kujiunga upinzani ndiyo ukombozi wa Watanzania sasa anakataa nini.
Hawa wanaotusaidia watanzania, Mfano Dk Slaa alinkuwa CCM kahamia Chadema na ndio mkombozi wetu, hata haya ya kuvua magamba ni matokeo yake.