Mkutano wa CCM Mbeya

Mkutano wa CCM Mbeya

Siasa zilizoshindwa Acharya university,Bangalore-India zimeonekana Mwarobaini wa kuokoa CCM chama kikongwe barani Afrika? Loh.....Hiyo ni serious desparation! ! ! Congrats Nape Moses Nnauye!

Ngonini unapoint nzur kuhusu bwana 6 na vbaraka wengne wa ccm lakn kuhusu wanyamwez hujawatendea haki unaposema waoga csemi hv coz n mnyamwez ila kwakuwa naona kama hujui hstoria ya wanyamwez! N kabila lenye wapambanaj kulko makabila meng ndan ya nch hii! Hstoria ya toka uhuru mpaka 2lipofka itakuonyesha hvyo, ndo watu wa kwanza kpngana na serikal ya ccm na n moja ya makabila machache ambayo ktokana na upnzan mkoa wetu ultelekezwa na mwalm japo n mikoa ambayo ilkuwa juu wakat wa uhuru.
So please i respect ur opinion juu ya wanamagamba lakn wanyamwez kama n rl activist na mwanajukwa mwelewa futa kauli yako.

mkutano ulikuwa na watu wengi kutoka wilya zote za Mbeya ila ni 1/4 ya Ile ya CDM palepale uwanja wa Dr Slaa kama wengi sasa wanavyouita.

Hao wanachuo ni wakuja, inamaana mkutano haukuwa na mashiko kwa wakazi wa Mbeya. .

lakini wanashindwa kuelewa hawa wananchi walishawachoka long time ago

. bado njia ni nyeupe kwa cdm

Tunapenda sana kufarijiana na kuambiana yale tunayopenda kuyasikia na kuishia kujilisha upepo, taabu kwelikweli...

H@ki Ngowi: Nape Nnauye,Samwel Sitta,Harrison Mwakyembe,David Mwakyusa,Ole Sendeka Wanguruma Mbeya

Ngonini unapoint nzur kuhusu bwana 6 na vbaraka wengne wa ccm lakn kuhusu wanyamwez hujawatendea haki unaposema waoga csemi hv coz n mnyamwez ila kwakuwa naona kama hujui hstoria ya wanyamwez! N kabila lenye wapambanaj kulko makabila meng ndan ya nch hii! Hstoria ya toka uhuru mpaka 2lipofka itakuonyesha hvyo, ndo watu wa kwanza kpngana na serikal ya ccm na n moja ya makabila machache ambayo ktokana na upnzan mkoa wetu ultelekezwa na mwalm japo n mikoa ambayo ilkuwa juu wakat wa uhuru.
So please i respect ur opinion juu ya wanamagamba lakn wanyamwez kama n rl activist na mwanajukwa mwelewa futa kauli yako.
Th same apply kwa wasukuma koz mwanya na shnyanga ndo sehem ambayo wanamagamba wameanguka kwa kiasi kkubwa.

Siasa zilizoshindwa Acharya university,Bangalore-India zimeonekana Mwarobaini wa kuokoa CCM chama kikongwe barani Afrika? Loh.....Hiyo ni serious desparation! ! ! Congrats Nape Moses Nnauye!

...Bahati mbaya sana inawezekana kabisa zile zilizoshinda India zikashindwa vibaya sana Tanzania, kila zama ina mashujaa wake na katika siasa na maisha kwa ujumla kuna uwezekana usiotiliwa shaka wa aliyeshindwa jana kuwa shujaa wa leo, kesho na siku nyingi zijayo.

Tusiishi sana kwenye ya juzi, tutachelewa sana...

[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Sitta: Punish those behind power crisis [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]Send [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Sunday, 17 July 2011 11:10 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
By Brandy Nelson and Hawa Mathias
The Citizen Correspondents
Mbeya.

Cabinet minister Samuel Sitta said yesterday that people who have plunged the country into the current power crisis must bear full responsibility for their actions.“It’s not enough to apologise to Tanzanians for the suffering they are going through… it must be said that all those who caused this misery must be held responsible,” he told a forum organised by CCM members from universities in Mbeya Region.

Mr Sitta, who is also East African Cooperation minister and former National Assembly Speaker, said Tanzania was blessed with abundant resources that could be used to generate power for domestic consumption and export. “It is due to sheer greed that the nation is now in darkness,” he said without mentioning names.

The Urambo East MP later addressed a big rally at Luanda Nzovwe grounds in Mbeya. Others present at the two functions included deputy ministers Harrison Mwakyembe (Works) and Lazaro Nyalandu (Industry and Trade); MPs Christopher ole Sendeka (Simanjiro), David Mwakyusa (Rungwe East), Godfrey Zambi (Mbozi East) and Dickson Lilufi (Mbarali) and Special Seats parliamentarians Mary Mwanjelwa and Hilda Ngoye.

“We will not let this one pass unchallenged, and we promise you that we will do all it takes to restore the integrity this country was known for during the time of Mwalimu Nyerere,” Mr Sitta said, adding that the country was under siege from “wealthy, corrupt individuals.” The minister’s remarks are likely to pile the pressure on the government, which on Friday came under fierce criticism in Parliament over its handling of electricity shortages that have led to Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) cutting power for up to 12 hours daily in areas served by the national grid.

Energy and Minerals minister William Ngeleja is tomorrow evening expected to respond to concerns raised by MPs, some of whom have threatened not to back the ministry’s budget proposals if they would not get satisfactory answers from the embattled minister. MPs, among other suggestions, have called for a national emergency plan out of the longstanding power problem.
They also proposed the tabling of a supplementary budget to set aside enough funds to boost power generation, saying current government plans could not be relied on. It was during Mr Sitta’s tenure as Speaker that a parliamentary committee was appointed in 2007 to investigate the awarding of an emergency power supply contract to Richmond Development Company (RDC).
The team concluded in its report that there was political interference in the tender awarding process, which led to RDC, which the committee dismissed as a “briefcase outfit”, winning the contract worth $172 million (Sh275 billion in today’s shillings).

The then Prime Minister, Mr Edward Lowassa, and Cabinet ministers Nazir Karamagi (Energy and Minerals) and Ibrahim Msabaha (East Africa Cooperation) resigned after the report linked them with the scandal. Richmond’s successor, Dowans Tanzania Limited, is currently embroiled in a court tussle with Tanesco, which is disputing the Sh94 billion compensation it has been ordered to pay Dowans for breach of contract.

The firm, which has since been sold to Symbion Power of the US, is associated with politician-cum-businessman Rostam Aziz, who last Thursday resigned from Parliament and CCM’s National Executive Committee, accusing some senior officials of the ruling party of harbouring a vendetta against him.

Speakers at yesterday’s rally in Mbeya said CCM would enhance its reputation by serving the people, and not embracing those whose actions were turning members against the party. CCM Publicity and Ideology Secretary Nape Nnauye and a host of local party leaders attended the rally said to be the first of several public meetings meant to enable the party to win back the support it has lost as a result of its being associated with grand corruption.

Mr Sitta said the rich “owned” CCM, and they had been using their wealth to frustrate fellow party members, adding that the individuals unsuccessfully campaigned for his expulsion from the party in 2009. “It’s not easy for them to succeed…we have now decided to fight them to the end.

There are some hungry members who are being used to undermine us, but we will use our brains to defeat them,” he said amid cheers.Mr ole Sendeka urged CCM members to remain united and clamour for the expulsion of those who had caused divisions in the party by involving themselves in grand corruption. He chided the Opposition, saying it was not the better option.

Mr Nnauye said the move to cleanse the party of corrupt elements was not his decision as those targeted in the purge wanted CCM members and Tanzanians in general to believe.

He said it was CCM’s policy to act against public servants and party officials who failed to deliver. “Let me warn government officials who cannot deliver that we will kick them out as well,” he declared.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

...Bahati mbaya sana inawezekana kabisa zile zilizoshinda India zikashindwa vibaya sana Tanzania, kila zama ina mashujaa wake na katika siasa na maisha kwa ujumla kuna uwezekana usiotiliwa shaka wa aliyeshindwa jana kuwa shujaa wa leo, kesho na siku nyingi zijayo.

Tusiishi sana kwenye ya juzi, tutachelewa sana...

Ndiyo maana Tiba za asili zimekuwa maarufu kuliko za kisasa,kuamini mgonjwa wa ukimwi kalogwa, nk. Tunajiandaa kwenda deep na kujitoa na kujikita katika kuwa out of touch with Reality........can't you see the correlation?

Tutaishangaza Dunia soon ! ! !

Baada ya RA, EL na AC kubwaba manyanga, tuwarudie mapacha watatu wa CCJ ambao ni Harrison Mwakyembe, Nnape Nauye Pamojana na Samwel Sitta. ambao jana walijumuhika kule Mbeya kuendleza hatma yao ya kuingia mjengoni huku wakimuacha wanayemsadiki kuwa Kibaraka wa EL na RA kijana January Makamaba. Tutaona nani ataibuka kuwa mbeba bendera kutoka Mapacha wa CCJ na like Kundi la EL na Rostam ambamo pia William Ngeleja yumo

Ndiyo maana Tiba za asili zimekuwa maarufu kuliko za kisasa,kuamini mgonjwa wa ukimwi kalogwa, nk. Tunajiandaa kwenda deep na kujitoa na kujikita katika kuwa out of touch with Reality........can't you see the correlation?Tutaishangaza Dunia soon ! ! !
Naweza nikawa off topic lakini nafurahishwa na Ben, yeye yuko tayari kuteseka kwa ajili ya Zitto lakini inapokuja kwenye maslah ya CHADEMA yupo tayari kufa msalabani ili atetee maslahi ya Chama. Safi sana kijana.....

yeah,, kwa kauli zile "sisi ndio wabunge makini ndani ya ccm, wengine wanatumia matumbo kufikiri" ni dalili dhahiri za makundi na mwisho wake chama hiko. cjui wabunge wengine wa ccm ambao hawakuhudhuria mkutano huo wameichukuliaje kauli hiyo ya 6. CCM ilipofika ni kama wale waliokuwa wanajenga mnara wa babeli, huyu anasema hiki,yule anasema kile!

Kwahyo huyo Nepi oooh sorry Nape... Anataka kutwambia Wazanzibar, Watanganyka, Watanzania, Africa na Dunia. Kwamba ule muafaka au ndoa ya ccm na cuf ni kiini macho na wanatuchezea mind zetu.

BAK,

Kwa hili, Sitta wala asizungumze, he had ability through Mwakyembe kamati to come up with a comprehensive solution to the givernment, lakini wao wakabakia wakitishana nani Richmond na nani anataka kuweka mapangaboi Singida!

Unajua kuna political opportunities ambazo zinakuwa kama ngekewa na watu wanazikalia hovyo kwa ajili ya focus yao kuwa upande usio na msingi au maana.

Baada ya kesi ya Richmond, Mwakyembe should have pushed for the energy sector reform act, laying a new strategic plan to fix the power problem. Hiyo ilikuywa a great opportunity an Sitta should have supported it and then irudi kwa Kikwete aikatae, Watanzania tujue moja. Lakini haya mambo yao ya kugombania mlo na vyeo yamewaponza. Leo bado tunaulizana Richmond alikuwa nani, lakini umeme hakuna na sheria ya Nishati haijapitiwa wala kufanyiwa marekebisho!

• Thanks
Reactions: BAK
Aina ya wasomi tulionao bongo ni laana tupu. How comes wanafunzi 300 wa TEKU wanajiunga na CCM? Yaani wanashindwa hata na wasukuma mikokoteni ambao wanaweza kuyaona matatizo ya nchi na kuikimbia CCM? Hapa ndo naona kabisa ukombozi wa nchi hii upo mbali sana.
mkuu cha ajabu walipokea kadi wachache sana kama 10 tu kwa niaba ya wengine na kama nilivyo sema hata diwani waliye mtangaza kwa mbwembwe hakuwepo ndiye aliye nifanya nikae hadi mwisho ili nisikie sababu ya kuhama CDM HE WAS NOT THERE !!! ajabu pia SHITAMBALA hakuwepo

naomba kujua ukweli wa single aliyo itoa SUGU sasa iitwa I WANNA KILL YOU kuna dogo mmoja alikuwa kada wa CDM alisema jana kuwa hiyo single haifai kwa maadali na kusikilizwa na watu eti ipo kwenye net haikutaja hiyo WWW anasema hiini miongoni mwa sababu zilizo mfanya ahame CDM

Siasa ni kuwa na washabiki pia..Kujijenga kwataka gharama.CCM kama njia waliyoanza nayo ni kwa Mbeya?? Wajue ni mengi tumeumia nayo na kinachotakiwa si mikutano mikubwa.Ni mahitaji ya watanzania kwanza na mengine yanajilleta yenyewe.Mikutano kama hiyo ingezungumzia umeme ingekuwa ni jema zaidi kuliko kuweka fikra za kudhoofisha upinzani ambao kwa sasa ndiyo uliofanya wao wakaamka waliposinzia.
SIASA ILIYO NJEMA HUPENDEZA IKIONGOZANA NA MAENDELEO YALIYO YA DHATI KWA KILA MMOJA...I WILL ALWAYS REMAIN OPPOSITION UNTIL LAST SEC.

BAK,

Kwa hili, Sitta wala asizungumze, he had ability through Mwakyembe kamati to come up with a comprehensive solution to the givernment, lakini wao wakabakia wakitishana nani Richmond na nani anataka kuweka mapangaboi Singida!

Unajua kuna political opportunities ambazo zinakuwa kama ngekewa na watu wanazikalia hovyo kwa ajili ya focus yao kuwa upande usio na msingi au maana.

Baada ya kesi ya Richmond, Mwakyembe should have pushed for the energy sector reform act, laying a new strategic plan to fix the power problem. Hiyo ilikuywa a great opportunity an Sitta should have supported it and then irudi kwa Kikwete aikatae, Watanzania tujue moja. Lakini haya mambo yao ya kugombania mlo na vyeo yamewaponza. Leo bado tunaulizana Richmond alikuwa nani, lakini umeme hakuna na sheria ya Nishati haijapitiwa wala kufanyiwa marekebisho!

Inasikitisha sana Rev, baada ya miaka yote hii ya matatizo makubwa sana ya umeme katika nchi yetu bado tunazunguka zunguka na hao wanaojiita Viongozi wakitoa kauli kila kukicha lakini tatizo bado lipo pale pale pamoja na kutumia mabilioni ya pesa kila mwaka. Wameweka mbele maslahi ya Kikwete, Ngeleja, Malima na chama chao badala ya maslahi ya nchi.

mkuu cha ajabu walipokea kadi wachache sana kama 10 tu kwa niaba ya wengine na kama nilivyo sema hata diwani waliye mtangaza kwa mbwembwe hakuwepo ndiye aliye nifanya nikae hadi mwisho ili nisikie sababu ya kuhama CDM HE WAS NOT THERE !!! ajabu pia SHITAMBALA hakuwepo naomba kujua ukweli wa single aliyo itoa SUGU sasa iitwa I WANNA KILL YOU kuna dogo mmoja alikuwa kada wa CDM alisema jana kuwa hiyo single haifai kwa maadali na kusikilizwa na watu eti ipo kwenye net haikutaja hiyo WWW anasema hiini miongoni mwa sababu zilizo mfanya ahame CDM
inaitwa antivirus....

baba na mama,mabibi na mababu zetu ndio waliijua na kuifanya hiyo tu yet ndoa zao zilidumu,sie tunafanya kila aina ya sarakasi,oral sex tigo etc na ndoa zetu hazidumu...WHY.....LOL

Back
Top Bottom