Mkutano wa CCM Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa CCM Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Daudi Mchambuzi, Jul 16, 2011.

 1. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  kama kuna mtu yuko mbeya naomba atujuze kinachondelea kwenye maandamano na mkutano wa CCM. tupia hapa habari tujadili bandugu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,604
  Trophy Points: 280
  wanafunzi watakual wahspewa buku moja moaj ili waende
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,200
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Nipo njiani kuelekea kwenye mkutano, nitarushia picha mkutano ukiisha kwani simu yangu ya mchina haitasaidia
   
 4. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Si walilazimishwa kwenda wa kagoma, au ndo wameamua kuwahonga sasa?Hivi wataongea nini cha kuwavutia watu?
   
 5. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaenda kwenye mkutano au maandamano, maana wanaanza na maandamano...usiache kutupa live updates, na pichaz usisahau ujumbe wa kwenye mabango, maana hadi sasa hawajasema nia ya maandamano maana hawakawii kuyaita maandamano ya kulaani "maandamano ya vurugu" ya chadema
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  tupo pamoja sana
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Naomba tu wasisahau picha za mabango. Hawa ccm sijui watapataje watu maana hawasemi lengo la maandamano. Sijui wamewapa polisi taarifa gani maana wanatakiwa waseme na lengo la maandamano kwenye taarifa yao. Au kama huko mby wanatangaziwa watutaarifu na sisi!
   
 8. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Lengo la maandamano ni kwa wanaCCM wa Mbeya kuupongeza uamuzi wa NEC na Secretarieti mpya ya chama wa kuelekea kuijenga CCM katika mtazamo mpya, na Lengo la mkutano ni kuuelezea umma wa Mbeya zana nzima ya kujivua gamba na hatua zilizofikiwa mpaka sasa katika harakati za kukisafisha chama.

  Kwa wale waliokaribu na mji wa Mbeya, mkutano huo utarushwa Live na Radio Generation FM.
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  So far ni fedheha
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  albendo upo mbeya?
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  taarifa zilizotufikia sasa hivi ni kwamba wameenda kuchukua watu kutoka vijijini na walipofika mjini mbeya gari yao moja imegonga mtu na kumwua,
  nimeongea na ndugu yangu yuko mbeya sasa hivi!
   
 12. F

  Froida JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  elaborate
   
 13. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  inamaana hapo mjini hamna watu? CCM mbona wanalazimisha mambo? kizuri chajiuza kibaya cha jitembeza
   
 14. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Inakumbusha yale yakukusanya madawati ilimkalie wakati kiongozi anakuja alafu akisha pita mnaendelea kukaa chini kwenye mawe! Yaani ni kujidanganya mwenyewe.
   
 15. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sita ndo anapanda jukwaani anawasalimia
   
 16. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Anatusalimiaje?
   
 17. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anasema mkewe mzaliwa wambozi ananza kufuru etiyeye ni yohana mbatizaji
   
 18. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Kweli kufuru, wekeni picha kama mnazo; maana kutoka CCJ hadi CCM kweli yeye na Nape kiboko, wamemwacha ndugu yao Mpendazoe hewani
   
 19. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  uko wpi?nipo hp,
   
 20. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Idadi ya watu ikoje. Umri gani ndio wengi
   
Loading...