Kwanza mimi naomba watz wote tumwelewe huyu mtu anayeitwa sitta,hata ikibidi tufanye utafiti wa kutosha juu ya hoja zifuatazo;Inasemekana kwamba yeye akishirikiana na akina Lowassa ndiyo waliokuwa kamati ya ushindi wa ndg Jakaya.,kwa msingi huo alikuwapo katika misingi ya kufanya Resources allocation ya mgombea urais,pakiwapo mkakati wa kijasusi wa kuchota pesa za umma Kupitia BOT Yaani EPA.,Ndiyo maana hakutaka EPA ijadiliwe bungeni akiwa spika,,leo hii anajiita kwamba ni mfuasi wa matendo ya mwl Nyerere,wakati Nyerere alikuwa anachukiawahujumu uchumi kwa vitendo!!,Nyerere hakufunga mjadala juu ya Rushwa na Ufisadi mpaka anakufa,.Samweli sitta akiwa ndiyo kiongozi mkubwa wa muhimili wa ummah alifunga mjadala akitumia kofia yake juu ya wizi mkubwa wa mali za ummah yani EPA na RICHMOND!!!!! Hivyo hawezi kujifananisha na mwl Nyerere hata siku moja. Pia kuna hoja kubwa kwamba walikuwa kundi moja na akina Lowasa katika kumtafuta mgombea Urais wao ambaye ni ndg Jakaya!!!,kwa maana hiyo Sitta anaye jiita ni mzalendo kama mwl Nyerere hakumwona Dr salim,Sumaye,Mwandosya na wengine wengi bali kwake mzalend mwenzie alikuwa ni ndg Jakaya aliye faa kuwa Rais wa watz.,kwa misingi hiyo ndg Sitta aache kujilinganisha na mwl Nyerere kwa sababu Nyerere alichukia RUSHWA na mtu anaye ambatana na wala Rushwa,nakumbuka kuna mahala mwl Nyerere aligoma kuingia kwenye kikao cha kamati kuu ya CCM kwa sababu ya uwapo wa Ndg Samweli Mallecela,akisema kama Mallecela yumo ndani si ingii!!!,kipindi hicho John Mallecela hakuwa ameiba pesa ya ummah bali kosa lilikuwa ni kupoteza msimamo juu ya hoja ya G55.Leo hii Mallecela anaweza kujitangazia uadilifu wake ndani ya CCM na sidhani kama kuna mtu ama kiongozi atakayesimama na kumpinga,Lakini leo Sitta anakaa na wala RUSHWA anasema anachukia Mafisadi,.Mwl Nyerere alifika mahala alisita kulipia kadi ya chama alicho kiasisi yani CCM Kwa sababu ya kunuka Rushwa lakini hakuanzisha CCJ ndani ya CCM,ila Mwl alianzisha TANU baadaye akaasisi CCM ndani ya TANU pasipo kificho wala unafiki!!,lakini Sitta anaanzisha CCJ ndani ya CCM kisirisiri na anawasaliti wenzie huku akiikana na kuwakana hadharani!!!,mwl Nyerere alichukia posho zisizo na maana kwa kutazama ufukara wa watz hata akathubutu kukata mshahara wake kwa kuuelekeza katika kuto huduma za jamii bure,lakini Samweli Sitta anapenda posho sana na anasa za kujenga ofisi yenye hadhi ya uspika jimboni kwake Urambo kwa kujitangazia USpika wa UFALME huku wakati jimbo lake likikosa huduma bora za kijamii,Juzi juzi hapa unaambiwa anaishi kwenye nyumba inayotafuna mamilion ya pesa ya walipa kodi kama spika mstaafu!!!Mwl Nyerere alikaa kijijin BUTIAMA kwenye kibanda huku akikataa kujengewa nyumba ama kukaa hotelini!!! kwasababu alichukia anasa kati kati ya ufukara na ujinga.Leo Sitta anapiga kete kwa watz kwa kujifananisha na Nyerere!!!!!.Sitta ajibu juu ya hoja juu ya ahadi zao na akina JK ,lowasa na Rostam kama KINGS MAKERZ,Aliahidiwa atakuwa nani?halafu haikuwa.pia kwanini aliahirisha mjadala wa EPA na RICHMOND akisema amefunga mjadala wakati hata maazimio 23 hayakutekelezwa? naye Dr Mwakyembe kwanini akiwa msomi wa kiwango cha juu akielewa dhana ya SCIENTIFIC INVESTIGATION hakuthubutu kumuhoji Lowasa kama mtuhumiwa mkuu wa Richmond? huku akisema Lowasa ana fursa ya kujieleza mbele ya Bunge!!! ndo maana ya UCHUNGUZI?? ,Pia kwanini Lowasa hakujibu Juu ya Richmond akisema Tatizo SI RICHMOND bali ni UWAZIRI MKUU!!!!,Sitta aliahidiwa uwaziri mkuu wakati wa kamati ya ushindi wa JK?Baadaye JK alijitokeza hadharani huku akicheka kwa furaha kubwa kwamba kilichotokea ni ajali ya kisiasa!!!! uhujumu uchumi!!!,,Baadaye Dr MWAKYEMBE anasema atayasema hata yaliyo moyoni ambayo hakuyasema kwa sababu ya kulinda CCM na serikali yake!! Haaa!!!! ni watetezi?? maazimio 23 hayajatekelezwa huku wanapandishana vyeo hata wale walopendekezwa kutimuliwa na kuhukumiwa sasa wanakula zaidi!! ni kamati ya Bunge la Samweli Sitta na Mwakyembe Huku JK Akiwapa ulaji zaidi.Tuunde Tume nyingine iwe ya Ummah.Mwl hakuanzisha CCJ Bali SITTA alianzisha na kuikana,anajifananisha na mwl Nyerere yupi?hata chembe hawaendani.