Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 811
Tatizo letu wanaume hutaka kufanya mapenzi na kila mwanamke anayekatiza mbele yetu lakin wkt huo huo hatutaki kusikia kuwa mwanamke tunayemfuata amewahi kufanya mapenz na mwanaume mwingine, hapa ndipo huja swala la kujali bikira!Obsession!!!! imeshakaa kwenye mind za wanaume kwamba ukikata utepe demu hakusahau, eti mkikutana hata akiwa ameolewa ni rahisi kukupa tena!!! sijui maneno haya yana ukweli au vipi. Mimi niliyemdungua hata hamu naye sina tena ingawa huwa tunaonana mara chache chache ni salamu na story za hapa na pale basi!