Nikuletee.wewe kama.nani?,patheticUkiniletea risiti zote ambazo CCM walilipia ITV, Clouds Tv, Azam Tv, Star Tv, TBC 1, Millard Ayo, East Africa Tv na Radio, Radio One naweka nadhiri humu najitoa Jf
Lazima akimbie bila nguo mwaka huu. Ile confidence ya Lissu ni hatare jombaa 😃Hahahahaha hivi kampeni ataziweza kweli
Acha kunifokea ndugu 😃😃😃😃Nikuletee.wewe kama.nani?,pathetic
We ulitaka itv au Azam waionyeshe mkutano wa CDM bure ! Semeni hamkua na hela basi , vyombo vya habari vinafanya biashara tambueni Hilo!.Hivi ITV na Azam wameogopa hata kulisogelea eneo la mkutano....kweli nchi hii inahitaji ukombozi...
Tumefika pabaya mno kama taifa... taifa la watu waoga..
Endeleeni kuota!Huyu jamaa hatakiwi kuongezewa hata wiki moja ikulu. Ni kumuondoa tu baada ya matokeo ya uchaguzi October 2020 yanakayompa ushindi Lissu.
Nasema hivi. CCM jiandaeni kuwa Chama cha upinzani mwaka huu. Ya Malawi yanaenda kutokea hapa Tanzania. Hiyo imeshaandikwa bado kutimia tuEndeleeni kuota!
Jitahidi uwe unalala mapema hizi ndoto zako, ni matokeo ya kukaa bar muda mrefu.Hawajui tu. Hata akiviweka kwenye blacklist mwisho wake kuongoza na kutawala Tanzania ni October 2020. Nguvu ya umma inaenda kumuweka Lissu madarakani hapo October 2020. Amini nakwambia ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania
Ishu mmelipia kwenye hzo media !Tusiwaamulie wenye vyombo.
Tuwape demokrasia nao. Kwako kama mkutano wa CDM ulikuwa ishu kwa wengine si ishu.
Na hivyo hivyo ulivyokuwa kwa CCM.
Tukutane Oktoba. Hamjawai iona nguvu ya umma Tanzania sasa mwaka huu ndo mtaiona kwa mara ya kwanza. Na lazima mmeze ndoano mwaka huuJitahidi uwe unalala mapema hizi ndoto zako, ni matokeo ya kukaa bar muda mrefu.
Unamchukia bure wakati unajua ukweli halisi kuwa ulitumia CHETI cha dada yako kupata ajira.Naamini kabisa kama tungekuwa na Bunge linalojali maslahi ya Tanzania na Watanzania basi asingemaliza hata miaka mitatu Ikulu kwani lingempigia kura ya no confidence. Leo hii angekuwa history lakini tuna Bunge dhaifu lililoamua kuwa ni kitengo cha Ikulu.
CCM huwa inalipia siyo bureKwani chadema wamekatazwa kuvialika vyombo kuonesha live mkutano wao?
Mmh nguvu ya umma ya mitandaoniTukutane Oktoba. Hamjawai iona nguvu ya umma Tanzania sasa mwaka huu ndo mtaiona kwa mara ya kwanza. Na lazima mmeze ndoano mwaka huu
Labda nguvu ya k........ ndo mnaweza kuitumia.Mwisho wa haya yote ni October 2020. Nguvu ya umma inaenda kuamua.
November tusiombane dawa za stress na mabega ya kulilia, maana sio kwa over confidence hizi!Hii nchi imefika hatua mbaya sana ndugu. Acha tu Lissu ajitoe kweli kuwakomboa Watanzania. Ni aibu
Hata kwenye mapokezi yake july 27 mlisema yatakuwa maandamano ya mtandaoni ila ukweli mliouona kuanzia airport hadi mitaa yote ya Dar aliyopita shujaa Lissu.Mmh nguvu ya umma ya mitandaoni
Mtatukana matusi yote mwaka huu. Huyo ndo Tundu Lissu ndugu. Na Hii ni mwanzo tu picha yenyewe mtaiona kwenye kampeni hadi uchaguzi hapo OctoberLabda nguvu ya k........ ndo mnaweza kuitumia.
Bahati mbaya sana, watu wengi walipuuza hawakujiandikisha kupiga kura. Hii inamaanisha wengi walienda kumpokea lakini kiuhalisia sio wapiga kura, ie hawana uhalali wa kupiga kura.Hata kwenye mapokezi yake july 27 mlisema yatakuwa maandamano ya mtandaoni ila ukweli mliouona kuanzia airport hadi mitaa yote ya Dar aliyopita shujaa Lissu.
Lissu ni God given gift. Mpeni tu nchi yake hapo October 2020
Hahaha ukweli ni kwamba hamtakosa sababu baada ya matokeo maana itakuwa 7-0Mtatukana matusi yote mwaka huu. Huyo ndo Tundu Lissu ndugu. Na Hii ni mwanzo tu picha yenyewe mtaiona kwenye kampeni hadi uchaguzi hapo October
Mitaa gani ya Dar unazungumzia Ndugu yangu. Lissu akipata asilimia 10 ya kura nahama nchi, hata USA Marines wasimsmie uchaguzi na kuhesabu plus chadema huyo Lissu hawezi kupata asilimia 10 ya kura..mark my words.Hata kwenye mapokezi yake july 27 mlisema yatakuwa maandamano ya mtandaoni ila ukweli mliouona kuanzia airport hadi mitaa yote ya Dar aliyopita shujaa Lissu.
Lissu ni God given gift. Mpeni tu nchi yake hapo October 2020
Kumbe kelele zote humu hata kadi huna?Msaada tutani:Kama sina kadi ya kupiga kura hadi leo ninaweza kufanya nini ili niipate?