Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

Isayalussy11

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
577
1,000
Hivi ITV na Azam wameogopa hata kulisogelea eneo la mkutano....kweli nchi hii inahitaji ukombozi...

Tumefika pabaya mno kama taifa... taifa la watu waoga..
We ulitaka itv au Azam waionyeshe mkutano wa CDM bure ! Semeni hamkua na hela basi , vyombo vya habari vinafanya biashara tambueni Hilo!.
 
damper

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
710
1,000
Hawajui tu. Hata akiviweka kwenye blacklist mwisho wake kuongoza na kutawala Tanzania ni October 2020. Nguvu ya umma inaenda kumuweka Lissu madarakani hapo October 2020. Amini nakwambia ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania
Jitahidi uwe unalala mapema hizi ndoto zako, ni matokeo ya kukaa bar muda mrefu.
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
8,102
2,000
Jitahidi uwe unalala mapema hizi ndoto zako, ni matokeo ya kukaa bar muda mrefu.
Tukutane Oktoba. Hamjawai iona nguvu ya umma Tanzania sasa mwaka huu ndo mtaiona kwa mara ya kwanza. Na lazima mmeze ndoano mwaka huu
 
damper

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
710
1,000
Naamini kabisa kama tungekuwa na Bunge linalojali maslahi ya Tanzania na Watanzania basi asingemaliza hata miaka mitatu Ikulu kwani lingempigia kura ya no confidence. Leo hii angekuwa history lakini tuna Bunge dhaifu lililoamua kuwa ni kitengo cha Ikulu.
Unamchukia bure wakati unajua ukweli halisi kuwa ulitumia CHETI cha dada yako kupata ajira.
Shukuru hata ulipata hela ya kununua smartphone na kuingia jf.
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
8,102
2,000
Mmh nguvu ya umma ya mitandaoni
Hata kwenye mapokezi yake july 27 mlisema yatakuwa maandamano ya mtandaoni ila ukweli mliouona kuanzia airport hadi mitaa yote ya Dar aliyopita shujaa Lissu.

Lissu ni God given gift. Mpeni tu nchi yake hapo October 2020
 
ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
30,777

Bahati mbaya sana, watu wengi walipuuza hawakujiandikisha kupiga kura. Hii inamaanisha wengi walienda kumpokea lakini kiuhalisia sio wapiga kura, ie hawana uhalali wa kupiga kura.
 
damper

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
710
1,000
Mtatukana matusi yote mwaka huu. Huyo ndo Tundu Lissu ndugu. Na Hii ni mwanzo tu picha yenyewe mtaiona kwenye kampeni hadi uchaguzi hapo October
Hahaha ukweli ni kwamba hamtakosa sababu baada ya matokeo maana itakuwa 7-0
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,721
2,000
Hata kwenye mapokezi yake july 27 mlisema yatakuwa maandamano ya mtandaoni ila ukweli mliouona kuanzia airport hadi mitaa yote ya Dar aliyopita shujaa Lissu.

Lissu ni God given gift. Mpeni tu nchi yake hapo October 2020
Mitaa gani ya Dar unazungumzia Ndugu yangu. Lissu akipata asilimia 10 ya kura nahama nchi, hata USA Marines wasimsmie uchaguzi na kuhesabu plus chadema huyo Lissu hawezi kupata asilimia 10 ya kura..mark my words.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom