hao mia nane (800) tu waliorudisha kadi hujawaona sembuse wanachama?? hahaha
hahahahahahahaah mkutano wenyewe haujafika hata hao 800 au hata ccm wamerudisha?
hao mia nane (800) tu waliorudisha kadi hujawaona sembuse wanachama?? hahaha
wewe mlugaluga acha uongo wa kijinga, eti pc haina option, kwa ujinga huu ulioupost lumumba watakukata malipo yako ....
mi sizioni mbona? nataka hakikisha maana nipo hapa uwanjani
Lete za kwako
ameua kwa idadi ya watu wa kuhesabu? ccm hamna chenu kibaha na huyo kokacola wenu
teh teh teh ... unamsifia mwigulu nchemba ..... teh teh teh .... tafuta diapers kabisa ... seal imeshatolewa hiyo huna kitu tena
kijiwe chako ni maisha club au bills dada angu.,
jamaa alikuwa jaji?
0713 maana yake nini mkuu mbona tupo gizaniteh teh teh .... hizi ndizo akili za wana ccm, wind blowing
concentrate kwenye mada wewe mburula ..... eleza kilaza mwigulu anasemaje halafu jioni akugongee chipsi mayai
jamaa alikuwa jaji?
hizo picha hapo sio mailinojahahahahahahahaah mkutano wenyewe haujafika hata hao 800 au hata ccm wamerudisha?
jaji wa mahakama ya ndizi pale mabibo
jamaa alikuwa jaji?
WE mi nipo uwanjani hapa watu ni nyomi acha uongo hata pa kukanyaga hakuna