hapa wala si kibaha kwa kweli
ni wapi?
hapa wala si kibaha kwa kweli
ni wapi?
Jaman ccm imekwisha, wiki takriban 3 zilizopita kulifanyika mkutano wa hadhara wa cdm kwenye uwanja waliofanyia ccm watu walikuwa wengi mno pamoja na mvua kunyesha sasa nimeshuhudia watu wachache sana pamoja na matangazo ya kuwa leo wanatajwa wabunge 7 wa cdm wanaotarajia kuhamia ccmm
Huu kwl mwaka wao, vp hakuna waliosafirishwa kwa mafuso hadi sasa?
Sijui ni nani alitoa hili wazo la CCM kutembea nchi nzima kueleza mafanikio? Yaani watu watoke kwenye nyuma za mbavu za mbwa na tembe kwenda kusikiliza 'mafanikio'? Muuza mboga mboga barabarani - tena chini- aache kuwinda wateja akasilikize 'mafanikio? Au mama aliyjifungulia chini kwenye sakafu atoke nyumbani kwenda kusikiliza 'mafanikio?
Very confusing!
Hapo ni kibaha maili moja kwenye uwanja wa mpira na ndio maana nimepiga picha maeneo ya golini kabisa ili msikatae,nimetokea mbezi kuja kupiga hizo picha tatu tu
mikutano waachiwe vyama vya upinzani,CCM wafanye matendo kwa nini awataki kufuata mawazo yangu? au awana cha kufanya? basi watenbelee walikofanya vitu,la sivyo wataanza kuzomewa
wekeni picha
simu yangu imegoma coz inaandika attachment error
uwanja umefurika vibayaa
No no no no no ! watu wakuhesabu yaan aibu tupu