Mimi nipo hapa kibaha mail moja mpaka mida ya saa nane mchana bado gari la matangazo lilikuwa linapita kuhamasisha raia waende kwenye mkutano lakin hakuna mtu aliyejisogeza pale
Hizo ni baadhi ya picha na kuna huyu jamaa wa orijino komed anaitwa Wakuvanga naye alipata nafasi ya kuhutubia wananchi kidogo akasema amekulia ccm na amesomeshwa na ccm hvyo damu yake ni ccm

hapa wala si kibaha kwa kweli