Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

Mwigulu ameiua chadema hapa kibaha, hakuna kitu tena hapa
 
mahudhurio machache ya watu ni funzo kwa CCM na hakika mabadiliko makubwa yanakuja nchini.
siasa za ubabaishaji za CCM hazina muda mrefu.
 
WE mi nipo uwanjani hapa watu ni nyomi acha uongo hata pa kukanyaga hakuna

dah! unajua kuwa mwongo sio sifa mbona mi siwaoni watu wengi unaosema mpaka barabaran acha hizo hata huoni aibu kusema uongo
 
Kuna wanachama zaidi ya 800 wamechukua kadi kutoka vyama vya upinzani ikiwemo magwanda, walirudisha kadi wanasema wamechoka kudanganywa na wababaishaji wasioona mema na mazuri ambayo serikali imeyafanya
 
Watu ni wengi sana hapa kibaha hadi barabara ya morogoro haipitiki ambapo yanapita mabasi makubwa kutoka mikoani,raia wameitikia mbaya kabisa

ingekua enzi zile za analogi ungetudanganya, digital vitu vipo hewani ful mapicha aibu hata arusha hamkuipata kama hii
 
Angalieni kwenye tv jioni na kwenye magazeti kesho na mitandao, pc yangu haina option ya picha.ccm kumbe inapendwa sana
 
dah! unajua kuwa mwongo sio sifa mbona mi siwaoni watu wengi unaosema mpaka barabaran acha hizo hata huoni aibu kusema uongo
hao mia nane (800) tu waliorudisha kadi hujawaona sembuse wanachama?? hahaha
 
waache watapetape bt muda wao umefika wa kuacha kuwadanganya watz. Bt natambua kuwa chadema bdo 2na kazi kubwa sana ya kuwaondoa hawa maccm. Mbona ha2jaona 4to?
 
Angalieni kwenye tv jioni na kwenye magazeti kesho na mitandao, pc yangu haina option ya picha.ccm kumbe inapendwa sana

wewe mlugaluga acha uongo wa kijinga, eti pc haina option, kwa ujinga huu ulioupost lumumba watakukata malipo yako ....
 
Viongozi wametema cheche sana hapa,mwenyekiti wa mkoa wa ccm,makada mbalimbali wa mkoani hapa pamoja vichwa kutoka taifa wakiongozwa kijana machachari mwigulu lameck madelu nchemba aka mwiba wa chadema
 
Sijui ni nani alitoa hili wazo la CCM kutembea nchi nzima kueleza mafanikio? Yaani watu watoke kwenye nyuma za mbavu za mbwa na tembe kwenda kusikiliza 'mafanikio'? Muuza mboga mboga barabarani - tena chini- aache kuwinda wateja akasilikize 'mafanikio? Au mama aliyjifungulia chini kwenye sakafu atoke nyumbani kwenda kusikiliza 'mafanikio?

Very confusing!

Upo sawa kabisa, neno MAFANIKIO litawakosesha watu, mana kinachoenda kuzungumziwa mkutanon (mafanikio) hakin uhalisia huku mtaan.

Not only confusing, but also very disturbing.
 
Back
Top Bottom