Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

mkuu mimi ni CCM na mshua ametulea kupitia CCM ila kwa usaliti walioufanya mailimoja watapata dhambi siamini macho yangu nusu nilie

Poleni, mwambie mnyaturu unyankhae aache kutumika atumie na za kwake
 
Kwa kweli ni vioja sana,sasa huwa hawajiskii aibu??

Eti kupita kueleza mafanikio,,,kwani wana mafanikioi gani waliyoyafanya ya kupita kutamba na kujivunia nayo??
 
Toka wapi kwenda wapi na kwa nini?Hela za wananchi ndo zijengazo barabara, angalia DAR ilivyo chafu licha ya viongozi weng kuishi!
mkuu hapo mi sibishani na wewe coz unauwezo kwa sisi maskini acha tuipende ccm ni kimbilio letu
 
Back
Top Bottom