Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

Mkutanao wa hadhara wa CCM Mailimoja wadoda

Mwigulu anasema mwaka ujao watatembea nchi nzima kuhuisha mabalozi na watahakikisha heshima ya balozi inarudi kama zamani

Sijui kama unaelewa kuwa umekiri kwamba heshima iliyokuwa nayo ccm haipo tena!
 
Wewe unyakhae ww ni mnyaturu wa wapi usieelewa? Chama hiki kimeshakuwa cha wale bongolala ni kipi kipya atakihubiri kwa umma wa Watanzania wa leo?
 
Maskini ccm inanikumbusha nilipokuwa Lusaka Zambia mwaka 1999/2000 siku moja kile chama za Dr. Kaunda (nimekisahau jina) kiliitisha mkutano wa hadhara kwenye makao makuu yake, watu waliokuwepo hawakuzidi mia moja, kwa mwendo huu baada ya 2015 ccm itakuwa ni historia, RIP ccm!
 
Jana ilitangazwa kufanyika kwa mkutano wa CCM ukiwa na niya ya kuelezea mafanikio ya ilani. Taarifa ilikuwa huo mkutano ungeanza saa 5 asubuhi. Matokeo yake hadi saa 7 hii hakuna watu hapo uwajani. Na mkutano ilitakiwa ufanyinge katika uwanja wa mpira maili moja Kibaha.

Kuna wanachama wachache waliotoka mikoa jriani kama Dar ambao wanazunguka zunguka tu huku wengine wakiwa karibu na vibanda vya karibu kujipatia vinywaji.

Nawasilisha.
kazi mnayoo....mtaweka kila aina ya maneno lakini ccm itakuwapo hadi kufa kwako wewe....muombe mungu akupe uzima tu ushuhudie 2015.... ndo mtaanzisha tz23
 
Labda kwenye gazeti lenu la uhuru! Maana hali halisi inathibitisha kinyume cha hayo unayotaka watu wayaamini!

mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni piga hesabu huko nyuma kwenda shule ya sekondari ilikuwa mbinde hakuna shule nyingi za sekondari wala walimu kaingia JK walimu wakaanza kupata ajira za moja kwa moja haya kila kata ina sekondari mpaka mimi masikini nilipata elimu ya sekondari we tafakari CCM IMENITOA MBALI
 
kazi mnayoo....mtaweka kila aina ya maneno lakini ccm itakuwapo hadi kufa kwako wewe....muombe mungu akupe uzima tu ushuhudie 2015.... ndo mtaanzisha tz23

TEH TEH TEH tuko wengii
 
kazi mnayoo....mtaweka kila aina ya maneno lakini ccm itakuwapo hadi kufa kwako wewe....muombe mungu akupe uzima tu ushuhudie 2015.... ndo mtaanzisha tz23

mkuu karibia wewe ndo msemaji wa serikari ya sadam au gadaff,. Au wale ulisoma nao make mnafanana kweli kimawazo,.
 
mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni piga hesabu huko nyuma kwenda shule ya sekondari ilikuwa mbinde hakuna shule nyingi za sekondari wala walimu kaingia JK walimu wakaanza kupata ajira za moja kwa moja haya kila kata ina sekondari mpaka mimi masikini nilipata elimu ya sekondari we tafakari CCM IMENITOA MBALI

Sometimes huwa nashindwa kuelewa mawazo ya aina hii! Hivi "huko nyuma" ni chama gani kilichokuwa kinatawala? Ndio maana ikisemwa kwamba CCM imefukarisha hii nchi kwa kiwango cha kutisha tangu enzi na enzi mnalalama; wewe mwenyewe umeshuhudia mwenyewe kwenye bandiko lako! Eti "toka huko nyuma!"
 
wenzetu matajiri lakini mie maskini najua CCM iliponitoa
 
Duh nimeamini CCM imechokwa aiseee..........mpaka kibaha??

mkuu mimi ni CCM na mshua ametulea kupitia CCM ila kwa usaliti walioufanya mailimoja watapata dhambi siamini macho yangu nusu nilie
 
Hapa ni mkutano wa karatu jana! Viva CHADEMA.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1356836251833.jpg
    uploadfromtaptalk1356836251833.jpg
    120.9 KB · Views: 70
mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni piga hesabu huko nyuma kwenda shule ya sekondari ilikuwa mbinde hakuna shule nyingi za sekondari wala walimu kaingia JK walimu wakaanza kupata ajira za moja kwa moja haya kila kata ina sekondari mpaka mimi masikini nilipata elimu ya sekondari we tafakari CCM. IMENITOA MBALI

Toka wapi kwenda wapi na kwa nini?Hela za wananchi ndo zijengazo barabara, angalia DAR ilivyo chafu licha ya viongozi weng kuishi!
 
Back
Top Bottom