Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,920
- 8,538
🥂RAHA YA KUwA MKUSHI
🥂 Wakushi asili yetu ni upendo hatubaguani tuna pendana
🥂Wakush hatuogopi kufa kwakuwa tunajua hii miili ni kama bodaboda tu tunapanda na kushuka
🥂Wakush tupo huru kifikra hatuabudu/kushadadikia vitu visivyo na ushahidi
🥂Wakush hatuna hofu ya mungu wa israel wala mungu wa waarabu wote tunawaona makolo kama makolo wengne
🥂Wakush tuna heshima na kila mtu lakini ki ukweli sisi hatueshimu dini/iman za kuletwa na melikebu
🥂Wakush tuna umoja. Tuna supportiana tuna peana maarifa na tunajikubali
🤚SHIDA YA KUwA MKUSH
❌Kuchukiwa..yani ukiwa mkushi lazima uchukiwe lakini uzuri huwa tunachukiwa na wasiojielewa
❌Kuombewa mabaya..ukiwa Mkush lazma uombewe mabaya kuna comment ukiandikiwa hadi unaisi unaeza kufa kesho
❌Kutukanwa..kwakuwa Mkush huwa hapindishi basi inafanya watu kuanza kutukana kwakuwa wanakosa hoja
❌Vitisho..asee hili swala hata mimi huwa lina nifurahisha sana yaani mtu anakuja mpaka inbox kunitishia tu kufa wengne wanajifanya watu wa jihad😂
✍🏽MKUSH MIMI NAJIKUBALI SANA NA NlNA WAKUBALI WATU WANGU NA TUTAENDELEA KUELIMISHANA MPANGO WANGU MIMI MUWE WATU HURU SlTAKI KUWAUMIZA KICHWA NA MAMBO YA KUNDALINI WALA MAMBO LOAD EHNK. NATAKA MUWE HURU WATU WANGU AFU MENGINE YATA FUATA🤜🏿🤛🏿....