Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

Wewe ni mpumbavu! Tabia iko moyoni mwa mtu na hakuna malaika hata uwe nani huwezi kumjua mtu kama ni mwadilifu! Unapenda majungu tu ya kujinga! Kila Rais anafanya mambo anavoona yeye inafaa! Umebaki kuwa na chuki ya awake ya tano! Hiyo ishapita jadiri hoja wewe pimbi! Hao unoosema wenye rekodi za utendaji wao walikuwepo ila ni ujinga tu hakuna la maana lililofanyika miaka nenda rude.
Kwahiyo rais anafanya mambo anavyoona inafaa siyo kwa mujibu wa sheria ?
 
Wewe mpumbavu mbona huelewi huo uzoefu unaozungumzia ulileta Tina gani miaka hiyo kama ujingz na upumbavu kama huu kwenye halmashauri ulikuwepo! Kidogo hata kwa Magu halmashauri zimefanya vitu vya maana kama mahospital na ukarabati wa should kongwe lakini miaka ya nyumba hao wakurugenzi uchwara wa zamani walikuwa Wezi tu hamna la maana!

Wewe endelea kushikiwa akili na kuomboleza na kuabudu binadamu mwenzako. Unaweza pia ukaenda kulala kwenye kaburu lake na kutuondolea kero huku kitaa. Narua ufanisi wa serikali ni uimara wa taasisi na kamwe siyo kutegemea mtu mmoja (Rejea kauli ya CAG Prof Assad), na ndiyo maana sasa hivi kila siku ni kulia lia oooh angekwepo oooh angewekuwepo blaaablaaa...Hivi let's assume angekuwepo mpaka leo je after 10 yrs si angeondoka??? Au angetawala maisha wewe nyumbuuu??? Angekuwa ametumia nguvu zake hizo mnazosema kuimarisha taasisi muhumi kama bunge je leo tungekuwa tunalia kuhusu miamala, kodi kwenye Luku, Petrili bei juu etc etc etc??? Ingekuwa ameimarisha Mahakama na zikawa zinajitegemea kimaamuzi na kutoingiliwa hovyo hovyo je tungekuwa tunalalamika watu kubambikiwa kese?? (rejea kauli ya Mhe rais SSH), je angetumia muda wake kufanya mabadiliko makubwa ya Katiba yetu je tungekuwa tunahangaika na viongozi wasiojielewa ambao jana walikuwa wanatuambia tupige nyungu & kujifukiza halafu kesho huyo huyo anakuja kutuambia kutachanje?? Kalagabahooo....
 
DED Gairo ameiba mabati 1172 Rais yupo busy kurekodi movie ya utalii.

Wahujumu uchumi wamerudi kwa Kasi huyu jamaa eti bado yupo offisini tu pamoja na kuiba jasho la watanzania.

Ummy, Waziri mkuu na Rais wote wapo wanamcheki tu.

Ufisadi umerudi kwa Kasi sana awamu ya 6.
 
DED Gairo ameiba mabati 1172 Rais yupo busy kurekodi movie ya utalii.

Wahujumu uchumi wamerudi kwa Kasi huyu jamaa eti bado yupo offisini tu pamoja na kuiba jasho la watanzania.

Ummy, Waziri mkuu na Rais wote wapo wanamcheki tu.

Ufisadi umerudi kwa Kasi sana hawamu ya 6.
Naona mmejipanga vilivyo kutengeneza mambo yenu kuichafua awamu ya 6.

Mtasubiri sana!
Wizi ulikuwepo Awamu ya 5 na hawa kuchukuliwa hatua! Mtu alipora tri 1.5 na aliposemwa akamfukuza kazi CAG


Awamu ya 6 wanachukuliwa hatua pale tu wanapojaribu kuiba. Hilo la Moro umelijua baada ya Serikali kupitia vyombo vyake kuwa kamata wahusika!

Hakuna uhalifu unaofumbiwa macho Awamu ya 6
 
Mkurugenzi kajidhalilisha kuiba bati za gauge 30, pesa zake hazizidi 20m, very shame kwa Chama Na serikali
 
Na hizo bati zote utakuta kashahonga.
MATAGA hivi hizi akili zenu huwa mnatoa wapi? Wizi kila eneo hadi mnajiibia wenyewe
 
Morogoro.

Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari.

Muslimu amesema kutokana na wizi huo watu wengine saba wanashikiliwa na wanadaiwa kushirikiana mkurugenzi huyo na wanaendelea kuhojiwa.

Awali Mwambambale alikuwa mkurugenzi wa halmamshari ya Kilosa kabla ya kuhamishwa halmashauri ya Gairo.

Wizi wa mabati hayo ulifanyika Juni 17, 2021 eneo ya ujenzi kitongoji cha Mvumi B wilayani Kilosa katika stoo ya halmashauri hiyo ambayo haikuvinjwa ambapo stoo hiyo haikuvunjwa.

Uzuri wakurugenzi wengi ni CCM kindakindaki....
 
Vituko vingi vya watumishi ni huko huko green color nilishangaa sana gazeti kupewa adhabu ya 30 days bila kosa

Jiulize kilichomuhamisha huko wilayani kuja huku alikoiba mabati ni nini?
Na hilo likiisha anahamishiwa kwingine
This is
 
Back
Top Bottom