Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

Kwanza jiulize kwa uzalendo wa Mwendazake alishindwaje kuwashtaki hao walionunua Ekari kwa Tsh 800 million? Badala yake akawapa hadhi ya Ubalozi wakamuwakilishe Nje ya nchi?


Kama huna kazi nakupa topic ya research

'…How Covid 19 rescued Tanzanians from Dictotorship…'

Hivi ile ardhi iliyonunuliwa kwa milioni 800 kwa ekari ina manufaa gani?
 
Kazi ipo
 
Uwezo wao mdogo pia unatokana na uwezo wa viongozi wao, kuna thread huko inaelezea meneja mmoja temeke alivyo corrupt ila kwa sababu ya kujuana yupo hapo alipo,
Uongozi mpya kata hilo shina haraka sana.
Hiyo thread imeelezea vizuri sana sjui kwanini watu hawatiririki wanaishia kulalama tu.
 
 
Kuna kitu ameogopa kukitaja ambacho ndio kiini cha Uzi wake,ambacho si kingine bali Udini.
ulichosema ni ukweli udini udini udini ndio tatizo kubwa kwenye hilo shirika la NSSF hoja nyingi wanazoanika apa ni zina masilahi ya dini za watu lakini wanasahau Kuwa dini zilikuja na meli tu
 
Ajabu komenti hii haina LIKES
 
Whistle brower ni wazi inaonekana una data za kutosha kuhusu ili, wasiwasi wangu ni kwamba, ikiwa huu mchezo unaanzia HRDPT nachelea kusema kwamba wafate tu proccedure ya kutangaza lakini hakutakuwa na fairnes kwenye ajira. Unless watumie recruitment agencies
 
Hawa majamaa yalotoka ppf yalitaka kuua nssf kama walivypua ppf,
 
Fafanua hapo kwenye udini...wakati wa Dau udini ulimaanisha upendeleo kwa waisilamu, sasa Dau hayupo udini huu ni upendeleo kwa watu wa dini ipi.....?
 
Kwani sheria za ajira zinasemaji mkuu.mbona unaleta maoni wkt kunasheria na kanuni.kwanini zisifuatwe.
 
Mi sina shida na ajira mpya kama ni za halali. Ujinga ni wa yule Erio kutoa watu ambao walikuwa wazuri sana na kuweka ma boyoyo.

Erio hakutaka challenge yoyote na ndio maana aliamini kufanya kazi na watu wake tu na anawowajua hawawezi kuhoji.

Na aliweka watu wenye average ability kwenye serious positions ili atimize malengo yake yakiwemo na upigaji.
 
Dau uwezi kumlinganisha na Erio wewe by any standard.

Hakuna alichokifanya Erio zaidi kafanya shuguli nyingi kusimama na kusababisha hasara.

Ipo siku kuna mtu atarudishwa kujibu.
 
Mwenye namba za simu za Leah Mahali, Tafadhali nitumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…