Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

Kwahiyo mke wewe uko tayari kuangamiza familia yako Kwa excuse hii.

Ziko njiani nyingi za kuliweka hili Sawa, kwahiyo Mume akienda jela wewe ndio furaha?

Huyo Bodaboda anayekupanuwa atawalipia school fees wanao?
Sikutarajia hii comment kutoka kwako
 
Jiwe gizani ukisikia yalaa limempata mhusika. Punguza kupanic na kukurupuka
Uliyepanic ni wewe, post yako ya Kwa kwenye hii thread umesema tunaomkosowa mke wa DED wote hatuna akili, huoni kama hapa umetukosea adabu?
 
😂 kwa style hii ndio maana hutokaa upate. Wenzako wanapiga hela waongeze mali , wewe unapiga hela uongeze michepuko
Wacha walimbikize Mali wafe kwa kisukari wawaachie watu watakua wanatembea na wake zao na binti zao.
Mimi sikudanganyi, supu kwa Sana, beer usiseme na michepuko. Silimbikizi Mali PSSSF yangu itanilinda.
 
Wacha walimbikize Mali wafe kwa kisukari wawaachie watu watakua wanatembea na wake zao na binti zao.
Mimi sikudanganyi, supu kwa Sana, beer usiseme na michepuko. Silimbikizi Mali PSSSF yangu itanilinda.
Wacha walimbikize mali watengeneze future nzuri ya watoto wao na vizazi vijavyo.
Baadae uje ulalamike viongoz wanatajirisha watoto wao na kuwaridhisha uongozi
 
Fikiria kuna wanawake wanaombea waume zao waharibikiwe kazi wa kosę Hela ili Eti aache kuchepuka ! 🤔🤔

Halafu ukute Mwanaume anatimiza majukumu ya familia kawa kawaida lakini mwanamke kwa ujinga wake, mapokeo anajitoa wazimu kushindana na Mwanaume amkomoe.
Wanawake wana akili fupi sana. Mnisamehe kwa kusema ukweli. Au nasema uwongo ndugu zangu
 
Peleka moto mpelekee moto.....usikute Ded alisikiliza nyimbo za hawa vijana wa mjini akanata na biti
 
Mamlaka ya uteuzilazima iangalie CV ya mtu kabla ya kumpa cheo kikubwa Kama DED.
Mimi ningekua DED kwa mihela wanayoiba bila kukaguliwa Wala kubugudhiwa na mamlaka yoyote, ningejitafutia michepuko yangu mitatu. Mmoja Dar ndani ndani huko Bunju, ingine Tanga wilaya ya Kilindi na nyingine Mtwara, wote ma single maza yenye kazi zao serikalini.
Mpaka mke wangu aje anihisi sio leo.
Sasa hili bwege linachukua mchepuko next room, wakiwa sitting room wanakonyezana mke anaona. Tena mjinga huyu si ajabu alikua anamla mtoto wa watu ndogo.
Ndogo haimuachi MTU salama. Utarudia tu maana makazi ya shetani yako kwenye lile tundu. Ile harufu ndiomarashi ya ibilisi.
Eti Mzee wa kupambania
 
Shida ipo kwa mke wake. Mambo ya nyumbani yaishe nyumban tu. Wanawake wanatakiwa kuwa na Siri. Siri za ndani ziishie ndani. Jamaa akifungwa mke hakuna faida yoyote anapata
Okay ni kweli usemayo, Aibu yako.., aibu yangu...; Lakini let's say kweli huyu Binti ni under 18 (hatujui huenda huyu alitaka ila Kisheria ataambiwa alimshinikiza) let's say hakutaka Je tuki-sweep scenarios zote za kwamba mke afiche Siri na mtoto under 18 hawezi kushinikizwa siku akipatikana under 18 ambaye boss anatumia U-boss wake kufanya anachofanya ni nani wa kumtetea huyu Binti....

Siongelei scenario hii (binafsi sina Data) naongelea statement yako kwa ujumla kwama tukiitumia kama msaafu huenda kuna wengi wataumia....
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana
Mwanamke atakuvumilia Kama umechepuka huko nje na mwanamke asiyemjua. Lakini beki tatu ambaye ana bikra zote halafu umri wake Ni under 18. Au rafiki yake au jirani, aisee Yuko tayari kupoteza kila kitu lakini uadibishwe.
 
Back
Top Bottom