Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

Ajabu.
Mkurugenzi ameaminiwa kusimamia Halmashauri lakini hata sheria hazijui/ anazipuuza.
Haya ndiyo madhara ya kurogota rogota Ma-DED no vetting au mjomba wake. Nafasi hizi walikuwa wanapewa watu ambao ni wakuu wa idara huko huko Halmashauri ambao ni seniors katika utumishi wa umma. Hebu mwenye CV yake aweke hapa tuone alirogotwa kutoka wapi? Ukute limetokea UVCCM!
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.

Hatua hiyo imebainika saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa DED huyo usiku wa Aprili 18, 2024 akiwa Istanbul, Uturuki alikoenda kwa ziara ya kikazi.

Hata hivyo, taarifa ya kutenguliwa kwake iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus kwa vyombo vya habari haikueleza sababu za hatua hiyo.

Taarifa zilizoifikia Mwananchi zinadai kuwa Ndumbo anatuhumiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti huyo, jambo lililobainika baada ya mkewe kugundua.

Pia Soma:
- Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

- Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?
Na wewe wacha uongo! Unasemaje Mafia Zanzibar?
 
Hawa Waislam wa Pwani kwa Ubakaji tu wako vizuri, yaani wanamrithi Mwamedi kwa tabia zake zote
 
Mbona kwenye heading kuna neno Zanzibar? ukijaribu kumaanisha Mafia ipo zanzibar au?
 
Mamlaka ya uteuzilazima iangalie CV ya mtu kabla ya kumpa cheo kikubwa Kama DED.
Mimi ningekua DED kwa mihela wanayoiba bila kukaguliwa Wala kubugudhiwa na mamlaka yoyote, ningejitafutia michepuko yangu mitatu. Mmoja Dar ndani ndani huko Bunju, ingine Tanga wilaya ya Kilindi na nyingine Mtwara, wote ma single maza yenye kazi zao serikalini.
Mpaka mke wangu aje anihisi sio leo.
Sasa hili bwege linachukua mchepuko next room, wakiwa sitting room wanakonyezana mke anaona. Tena mjinga huyu si ajabu alikua anamla mtoto wa watu ndogo.
Ndogo haimuachi MTU salama. Utarudia tu maana makazi ya shetani yako kwenye lile tundu. Ile harufu ndiomarashi ya ibilisi.
Siyo kila mtu anavutiwa na masingo madha,wengine hutaka wasichana.
 
Mkuu hatujafikia hatua hii. Unadhani kila mtu analiwa na boda boda? Yaani umepanic vibaya sana. Halafu sijakuquote kwenye uzi huu kiasi cha kuanza kutoa kashfa kwa mtu usiyemfahamu. Take a chill pill
Uliyepanic ni wewe, post yako ya Kwa kwenye hii thread umesema tunaomkosowa mke wa DED wote hatuna akili, huoni kama hapa umetukosea adabu?
 
Walisema ana Miaka 16 sasa imeongezeka ana Miaka 18, Mtoto kwa mujibu wa Sheria ni marufuku kufanya kazi za Nyumbani km muajiriwa Sheria ya Mtoto inakataza ndio maana wakasogeza umri mbele, kwa hio miaka 18 ni Mtoto?

Dkt. Gwajima D alipiga marufuku watoto kechezeshwa dance usiku unakumbuka?
Lakini chini ya miaka 18 wanaruhusiwa kuolewa kwa idhini ya wazazi/walezi.
Kwa kuliwa binti wa miaka hiyo wala si ajabu sana tena hususa huko mikoa ya mwambao wa bahari ya Hindi.
La da kama iwapo itathibitika kubakwa lakini kama alimla kwa hiyari hamna kesi hapo.
Na mke aniandae kwa talaka 3 wakati wowote.
 
Hawa Waislam wa Pwani kwa Ubakaji tu wako vizuri, yaani wanamrithi Mwamedi kwa tabia zake zote

😆😆😆😆

Kama hajabaka mke atakuwa amemfanyia mwenzie jambo baya sana.

Kuna wanawake wana matatizo ya afya ya akili kweli nimeanini.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.

Hatua hiyo imebainika saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa DED huyo usiku wa Aprili 18, 2024 akiwa Istanbul, Uturuki alikoenda kwa ziara ya kikazi.

Hata hivyo, taarifa ya kutenguliwa kwake iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus kwa vyombo vya habari haikueleza sababu za hatua hiyo.

Taarifa zilizoifikia Mwananchi zinadai kuwa Ndumbo anatuhumiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti huyo, jambo lililobainika baada ya mkewe kugundua.

Pia Soma:
- Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

- Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

Fikiria kuna wanawake wanaombea waume zao waharibikiwe kazi wa kosę Hela ili Eti aache kuchepuka ! 🤔🤔

Halafu ukute Mwanaume anatimiza majukumu ya familia kawa kawaida lakini mwanamke kwa ujinga wake, mapokeo anajitoa wazimu kushindana na Mwanaume amkomoe.
 
Hivyo baadhi ya wanaume mmeona tu suala la mkewe kusema ukweli, ila suala la tuhuma za ubakaji kwa huyo binti mdogo ni sawa na hamjaliona kabisa..!?

Nadhani angekuwa ni binti wa mmoja wenu, at least you could've felt the pain, kuweni na huruma kwa watoto..
Hapo ubakaji haupo. Wivu wa mke kabumburusha mahusiano ya mme na H/girl wake.
 
Mamlaka ya uteuzilazima iangalie CV ya mtu kabla ya kumpa cheo kikubwa Kama DED.
Mimi ningekua DED kwa mihela wanayoiba bila kukaguliwa Wala kubugudhiwa na mamlaka yoyote, ningejitafutia michepuko yangu mitatu. Mmoja Dar ndani ndani huko Bunju, ingine Tanga wilaya ya Kilindi na nyingine Mtwara, wote ma single maza yenye kazi zao serikalini.
Mpaka mke wangu aje anihisi sio leo.
Sasa hili bwege linachukua mchepuko next room, wakiwa sitting room wanakonyezana mke anaona. Tena mjinga huyu si ajabu alikua anamla mtoto wa watu ndogo.
Ndogo haimuachi MTU salama. Utarudia tu maana makazi ya shetani yako kwenye lile tundu. Ile harufu ndiomarashi ya ibilisi.
Ndugu, kwanini umechagua wilaya ya Kilindi kwa huko Tanga? Huko ndio kuna wataalam wa mahaba ya Tanga?
 
Back
Top Bottom