Mkuna na mkunwaji

Mkuna na mkunwaji

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Mkuna na mkunwaji ni yupi huona taamu
Kuna jambo nataraji, kujua hilo hakika...!
Taarabu za Tanga bwana zinanichill kweelikweli. Ila pia waweza changia katika ya wawili hao yupi huona raha?? Mkunaji au mkunwaji? Kwanini?
 
Haya bana. Anayekunwa ndio anaona raha sab hatumii nguvu
 
Ili uweze kukunwa lazima uwe unawashwa. kwa msingi huo anaewashwa ndie atakaefurahia ukunaji na mkunaji yeye ni mtoa huduma tuu akikwambia anaona raha kukuna mtu hapo kuna tatizo.
 
Mkuna na mkunwaji ni yupi huona taamu
Kuna jambo nataraji, kujua hilo hakika...!
Taarabu za Tanga bwana zinanichill kweelikweli. Ila pia waweza changia katika ya wawili hao yupi huona raha?? Mkunaji au mkunwaji? Kwanini?

Mfano mi nikikukuna, unahisi nani ataona raha?
 
Mkuna na mkunwaji ni yupi huona taamu
Kuna jambo nataraji, kujua hilo hakika...!
Taarabu za Tanga bwana zinanichill kweelikweli. Ila pia waweza changia katika ya wawili hao yupi huona raha?? Mkunaji au mkunwaji? Kwanini?

Kiwango cha MUWASHO kwa mkunwaji na uhodari wa MKUNAJI ni vigezo vikubwa muhimu ambavyo vyote vikiwa juu, basi MKUNWAJI lazima apate utaaamu zaidi ya MKUNAJI
 
haya ndio mawazo ya wanaume wa kileo saa sita mchana anawaza mkunwa na mkunwaji aisee
 
Kinyozi na mnyolewa nae yupi mwenye raha sana?

Mkuu naomba nitofautiane nawe kwani kwenye zoezi la kunyolewa huwezi kulinganisha UTAMU wake na kukunwa!! Kunyoa ni kwa ajili ya mtazamiko wa njee (Outlook). Raha yake ni kujisikia/kujihisi/kujiona uko smart. Kukunwa ni tofauti maana kuna kuwa na muwasho....Raha ya kukidhiwa haja ya kuwa smart (kunyoa) haiko katika mizani sawa na kuondoa muwasho
 
Mi nliulizwa ukichukua kidole ukajikuna sikioni kama ambavo wengi hufanya, je ni kidole au sikio linalopata raha?
 
Back
Top Bottom