BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Mfano mi nikikukuna, unahisi nani ataona raha?
labda kwa mfano huo angeweza kupata conclusion nzuri..
Mfano mi nikikukuna, unahisi nani ataona raha?
Nadhani kiswahili kigumu kidogo kwangu,sikujua kama una maanisha mengine...........Mkuu naomba nitofautiane nawe kwani kwenye zoezi la kunyolewa huwezi kulinganisha UTAMU wake na kukunwa!! Kunyoa ni kwa ajili ya mtazamiko wa njee (Outlook). Raha yake ni kujisikia/kujihisi/kujiona uko smart. Kukunwa ni tofauti maana kuna kuwa na muwasho....Raha ya kukidhiwa haja ya kuwa smart (kunyoa) haiko katika mizani sawa na kuondoa muwasho
ni uthi uthi..turewahaa mpaka kimanyikeChedi nkijo...!
ni uthi uthi..turewahaa mpaka kimanyike