Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai
kweli ww kilaz.a butu,unaripoti kutoka kijj gan?
 
Sura mbovu ka parachichi bi(t)ch(i)[emoji116]
 
Attachments

  • IMG_20180107_114342_774.JPG
    IMG_20180107_114342_774.JPG
    19 KB · Views: 39
Kumbe dunia hii mtu anaweza kuonekana mjanja amejiunga hadi jf halafu akawa na mawazo mgando kiasi hiki?Unawezaje kufundisha wanawake wenzio ujanja wa kishamba namna hiyo?Hata hivyo sitaki kuamini ulikuwa serious huenda ilikuwa jokes tu.
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai

Unaogopa kutoa namba kwa sababu huwezi kukataa ukitongozwa
 
Wadada msimsikilize, huyo keshajikongolokea baada ya kutumika vibaya na wanaume wakware wa kumtamkia papo kwa papo na sasa anampango wa kuziba bahati zenu mana yeye hata kusalimiwa tu mbinde.
 
Mmh. Kuna umri na umri kina sie wala sio kuanza kuhangaika kufikiria saizi ya kiuno, unamwambia mtu kwa lugha laini kabisa na atajiondokea zake bila hata hasira na huku namba hakuipata.

Hivyo kuanza kumtajia namba ya kiatu ni kumfanya kesho arudi tena.
 
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018!
Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu)
Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama mtu anataka kuzungumza nami azungumze tukionana uso kwa uso sio kuomba namba. Kwa uzoefu wangu wanaomba namba ni madomo zege.
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)Akishangaashangaa mweleze wazi kwamba hiyo ndio namba yako ya (kiuno au viatu) kisha nyamaza, utamwona huyooo anaishia zake ameinamisha kichwa. Hakuna haja ya kutoa maneno makali kama hutaki kutoa namba yako ya simu!
Nawatakieni mwaka mpya wa mafanikio.
Ni mimi Miss Nai

Una akili za kimasikini sana, yani masikini wa mali na akili. Unatoa namba za kiuno na viatu ili ununuliwe hivyo vitu, unaomba kisanii!

Mbona mke wangu nilimuomba namba ya simu akanipa na sasa nimemuoa.

Kama hutaki kaa kimya na hata usijibu kitu ukiombwa namba, huna haja ya kutaka wafadhili wa kukununulia qupi bila kufanya kazi yeyote.
 
Back
Top Bottom