Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

Minamba yote iliyojaa shogaa hapa mjini kweli umnyime MTU mwe,[emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi minguzo ya umeme ina minamba,we unampa tuu akafie nayo mbele,.tena utapanguza long conversion ukimpa kila MTU na mishe zake mpaka aje kugundua ni namba ya kwenye mpapai ni too late,.

Hahahaa. "Eti namba ya kwenye mpapai "

We Mumu weweeee.
 
Samahani, hapa kwenye Avatar ni wewe?

No wonder basi
 
Sasa wewe fanya hivi:Kwa kuwa mara zote hawataji neno simu ila husema naomba namba zako, basi wewe mpe namba za saizi ya kiuno, viatu nk.(kama hutaki mahusiano ya simu)
Ni mimi Miss Nai
Kama dp yako ndio sura yako pole sana Miss Nai, lakini ilifanikiwa miaka ya zamani hiyo trick sio kizazi ng'ang'anizi hiki!..
Nachukua namba yako ya kiatu, nepi, chupi, nyumba, mtaa halafu ya mwisho utanipa na namba ya simu!...usiombe kutana na mwanaume ana nyege ni kama yure faru flani.
 
Acha kupotosha watu wewe utakuja walaza njaa wenzio no. Ya simu ni mhimu kwa muendelezo wa astory
 
Hivi wewe lekangai wewe ni bikira?namba utatoa na watu watakula mzigo,unafanya mchezo na nyeg**
 
acha kuwapotosha wenzako kama wewe umeshamalizika matumizi bhana....
kwa mwanamke kuombwa na kutoa namba ya simu ni fursa kwake kuwashauri wenzako wasichangamkie fursa hiyo huo ni wivu wa kimaendeleo...
 
Usiponipa najua kuna mwingine kama mm atapewa na atakula tu mm nitajisogeza mbele yule aliyemnyima ulimpa ww ananipa mm nakula tu maisha yanaendelea
 
Mmh, sioni hiyo haja

Utawajibu wote au wale ambao unawachukia tu?

Hata hivyo si vyema kumchukia mtu yeyote, vyema kuchukia maovu Tu

TOA NAMBA AKIKUSHAWISHI MAOVU- IFUNGIE NAMBA.
 
Back
Top Bottom