Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

Nadhani nilishakushauri humu JF kuwa ujitahidi sana kutumia lugha ya staa...nimekuwa nikifuatilia comments zako humu JF ..kwa hakika comments zako nyingi ni za kebehi, kejeli, matusi na zenye mwelekeo wa majivuno...Yaani wote wenye mawazo tofauti na wewe unawaona kuwa ni mazuzu na wewe ndiye mwerevu na unayejua mengi..
Wewe lazima utakuwa zuzu wa kweli kweli! Mtu na akili zako unafuatilia comments za unayedai zuzu halafu unaanza kulialia kama vile unatoka kwenye kambi ya washamba na limbukeni, pole sana! Lugha ya staa ndiyo lugha gani au hukuaga huko pangoni ulikotoka.
 
WATANZANIA HATUJASAHAU MAUMIVU SEMA TUMESAMEHE

Watanzania kwa utamaduni wetu na malezi yetu mema hasa ya baba wa taifa Mwl Julius Nyerere na waasisi wa taifa letu hatuna kinyongo wala mioyo ya visasi kwa pamoja tulisema tuache yaliyopita lakini haina maana tunasahau yale madudu.

Kumpinga Rais MAGUFULI ni kuwatonesha watanzania ambao wanaanza kusahu na kusonga mbele.

Watanzania timamu wanatambua vita dhidi ya utawala wa Rais MAGUFULI ni Vita dhidi ya utawala wa kutokomeza mazoea na umwinyi wa kuishi na kudumu ktk vyeo hata baada ya kustaafu.

Watanzania wanajua hapingwi Rais JPM badala yake unapingwa mfumo mpya wa Haki , Usawa sambamba kujikita kwa wananch kuliko genge fulani.

Kitendo cha Rais JPM kuamini ktk wananch kuliko genge fulani lenye kudhani linaweza kuendeleza uovu kisa lilikuwa ktk mkakati wa ushindi wa chama cha mapinduzi CCM ni vita ngumu ya kuiondoa serikali mikononi mwa watu fulani kwenda kwa wananch.

Mimi nitasimama na Rais JPM siyo kwa sura yake, kabila lake wala kimo chake nitasimama na Rais JPM kwasababu anapambana vita takatifu ya kuua na kutokomeza utawala wa kihuni.

Mimi nipo tayari kupambana pamoja na Rais JPM na watanzania wengine wote wenye kuitamani Tanzania aliyokusudia baba wa taifa Mwl Nyerere.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu tokomeza wanafiki na wavurugaji wa taifa letu.
Pambana na hali yko ndugu.
 
Hivi nyerere alikusudia nchi IPI? Naona aliyoyasema mnachagua kuyatekeleza.fanyeni yote.
 
Huyu Rais wetu ni strategist mzuri sana...JPM akiguswa tu na 'wahuni' wachache, wataona nguvu ya umma ilivyo na nguvu..Yaani hao 'wahuni' watavurumishwa kokote walipo...Magufuli ameteka mioyo ya watanzania wa kawaida wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu, sekondari, wamachinga, wafanyakazi wa kawaida, wakulima, wananchi wa vijijini na mijini ambao ni wa kawaida na makundi mengine mengi vikiwemo vyombo vya dola yaani askari, polisi, usalama, magereza, mgambo na kadhalika...
Yaani nguvu ya umma kufanyaje? kwangu hats tubadilishe marais kila mwezi sinashda.Mimi napambana na hal yangu.huo muda wa kutetea kitumbua cha MTU sina.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
Mme onewa kiasi cha kutosha , mme dharauliwa kiasi cha kutosha ,Mme nyanyaswa kiasi cha kutosha UJINGA wenu ndio ulio fanya muonewe na kunyanyaswa
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
Pale mvuta bange mmoja anapojipa mamlaka ya kuwasemea maelfu ya wananchi!
 
Hahahajajaaaa!!!! Tutaona mengi!!!!! Mungu hadhihakiwi,atamuumbua mmoja baada ya mwingine
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
hii yote ni njaa njaa inzyowasumbua!!! hali si hali.... maisha ni magumu sana tz haijawahi tokea!! wafanya biashara wanafunga biashara zao... wafanyakazi wa serikalini mishahara haijaongezeka since jiwe kachukua kijiti kutoka kwa jakaya....life is tyte kijana wacha kujivua akili wakati unajua kabisa.... leo hii mnahainga kama uvccm toka enzi... kesho mwenzako anakula shavu kuwa DC, katibu tawala ama waziri kabisa wote wanaotoka upinzani... sasa ww kazana kusema unaunga mkono... wewe unatumika kama kondomu pumbavu
 
Wewe lazima utakuwa zuzu wa kweli kweli! Mtu na akili zako unafuatilia comments za unayedai zuzu halafu unaanza kulialia kama vile unatoka kwenye kambi ya washamba na limbukeni, pole sana! Lugha ya staa ndiyo lugha gani au hukuaga huko pangoni ulikotoka.
We ni mkongwe katika janvi ,unajua lugha ya staha ,tofauti za kimtazamo au itakadi haziondoi busara zetu na uanadamu wetu
 
Ungeitisha na press Waite wale ayo, global TV etc maana Sahv kila mtu anafanya press

Ova
 
Poleni na hiyo miluzi yenu, kwa taarifa yenu mnapambana na hewa. Wakulima wa korosho walipata soko. Soko lao ilikuwa serikali. Serikali wamepeleka wapi haiwahusu wao wamepata chao na mwaka huu wanavuna.
Politiks

Ova
 
Back
Top Bottom