Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

Kaka Malick unajiaibisha sana sana, na ndio maana Wana-Mtama walikukataa.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
 
Hongera comrade kwa kusema ukweli tunamuombea JPM usiku na mchana azidi kumpa maono ya kujenga Tz mpya kazi anayofanya ni kubwa wenye macho tunaona tembea kifua mbele Mh Ra
 
Back
Top Bottom