Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
Wewe ni Lumumba ila unajifanya mkaz Wa Lindi sichupidiiii danganya wengine
 
Sasa kama umenishauri sana na bado sijabadilika kwanini unaendelea kupoteza nguvu zako kunishauri?

Kuna ulazima gani wa kusoma comments zangu?Kama zina kukwaza sepa tu siyo lazima uzisome.
Nadhani nilishakushauri humu JF kuwa ujitahidi sana kutumia lugha ya staa...nimekuwa nikifuatilia comments zako humu JF ..kwa hakika comments zako nyingi ni za kebehi, kejeli, matusi na zenye mwelekeo wa majivuno...Yaani wote wenye mawazo tofauti na wewe unawaona kuwa ni mazuzu na wewe ndiye mwerevu na unayejua mengi...
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
Baba yako korosho zake ameshalipwa?
 
KUMPINGA RAIS JPM NI KUWAKUMBUSHA WATANZANIA MATESO WALIYOPITIA, VITA DHIDI YA UTAWALA WA MAGUFULI NI VITA DHIDI YA MATUMAINI MAPYA YA WATANZANIA.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
Sema nasimama
 
jinga kabisa .... mmeporwa korosho mkaongezewa umaskini zaidi bado hamjatosheka ..... subiri balaa lijalo ni kuugeuza huo mkoa wa lindi kuwa mojawapo ya Kata za mkoa mpya wa Chato ....
 
WATANZANIA HATUJASAHAU MAUMIVU SEMA TUMESAMEHE

Watanzania kwa utamaduni wetu na malezi yetu mema hasa ya baba wa taifa Mwl Julius Nyerere na waasisi wa taifa letu hatuna kinyongo wala mioyo ya visasi kwa pamoja tulisema tuache yaliyopita lakini haina maana tunasahau yale madudu.

Kumpinga Rais MAGUFULI ni kuwatonesha watanzania ambao wanaanza kusahu na kusonga mbele.

Watanzania timamu wanatambua vita dhidi ya utawala wa Rais MAGUFULI ni Vita dhidi ya utawala wa kutokomeza mazoea na umwinyi wa kuishi na kudumu ktk vyeo hata baada ya kustaafu.

Watanzania wanajua hapingwi Rais JPM badala yake unapingwa mfumo mpya wa Haki , Usawa sambamba kujikita kwa wananch kuliko genge fulani.

Kitendo cha Rais JPM kuamini ktk wananch kuliko genge fulani lenye kudhani linaweza kuendeleza uovu kisa lilikuwa ktk mkakati wa ushindi wa chama cha mapinduzi CCM ni vita ngumu ya kuiondoa serikali mikononi mwa watu fulani kwenda kwa wananch.

Mimi nitasimama na Rais JPM siyo kwa sura yake, kabila lake wala kimo chake nitasimama na Rais JPM kwasababu anapambana vita takatifu ya kuua na kutokomeza utawala wa kihuni.

Mimi nipo tayari kupambana pamoja na Rais JPM na watanzania wengine wote wenye kuitamani Tanzania aliyokusudia baba wa taifa Mwl Nyerere.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu tokomeza wanafiki na wavurugaji wa taifa letu.
 
Back
Top Bottom