Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

Malick M. Malick

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
647
303
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
 
Tatizo si Magufuli. Tatizo ni fisiem, na JPM hatoweza kukisafisha. JPM anapaswa kukata tawi la mti alioukalia. Ni vigumu kwake kwani nae lazima adondoke na tawi.

Dawa pekee kwa JPM na ili aungwe mkono na waTz wengi ni kuachane na kichefuchefu fisiem.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi

Huyu Rais wetu ni strategist mzuri sana...JPM akiguswa tu na 'wahuni' wachache, wataona nguvu ya umma ilivyo na nguvu..Yaani hao 'wahuni' watavurumishwa kokote walipo...Magufuli ameteka mioyo ya watanzania wa kawaida wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu, sekondari, wamachinga, wafanyakazi wa kawaida, wakulima, wananchi wa vijijini na mijini ambao ni wa kawaida na makundi mengine mengi vikiwemo vyombo vya dola yaani askari, polisi, usalama, magereza, mgambo na kadhalika...
 
Umesahau kuweka nambari yako ya simu.

Vipi mbaazi mshaziuza au ndiyo mnazifanya kuwa ni mboga kuu ya wana lindi?

Vipi kuhusu korosho zinazo endelea kupukutika hapo nachingwea ilulu na kule liwale?

Wasafirishaji wa korosho mkoani lindi hapo vipi nao mpo pamoja kwenye kuandika huu upupu wako?
Maana hadi sasa hawajalipwa!
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
 
Hivi wewe unanisemea mimi kwa mamlaka gani? Unaposema wananchi wa lindi unamaanisha wewe na nani? Hebu acha kiherehere utaolewa bure wewe
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom