Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 5,006
- 4,891
- Thread starter
- #701
Mkuu, ukitoka himo kupitia njia ya holili kuna lami.
Ukitoka himo kwa njia ya marangu hadi mwika kuna lami.
Unabisha nini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ukitoka himo kupitia njia ya holili kuna lami.
Sasa holili ukiwa unaenda wapi?Mkuu, ukitoka himo kupitia njia ya holili kuna lami.
Ukitoka himo kwa njia ya marangu hadi mwika kuna lami.
Unabisha nini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Moshi vijijini sio wilaya ile inaitwa halmashauri ya wilaya ya moshi na haina mkuu wa wilayaMkuu wilaya ziko 7 na kuna wilaya ya Moshi vijijini..
Kua muelewa hizo sio wilaya ni halmashauriMakao makuu kuwa sehemu moja haifanyi kuwa wilaya moja.
Musoma mjini na Musoma vijijini makao makuu yako sehemu moja lakini ni wilaya mbili tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa right, but mie niliingia huko na kupata majibu hayo..Moshi vijijini sio wilaya ile inaitwa halmashauri ya wilaya ya moshi na haina mkuu wa wilaya
Ok usiiamini sana wikipedia sababu kila mtu ana access ya kuweka taarifa ,Unaweza kuwa right, but mie niliingia huko na kupata majibu hayo..View attachment 1484325View attachment 1484326View attachment 1484327
Naunga mkono hoja '' aikambeeeeee''Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).
Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.
Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.
Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.
CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.
Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Umesahau siha mkuu ni wilaya nayo ilimegwa toka haiNaomba nikusahihishe mkoa wa kilimanjaro Una wilaya sita na sio Saba, halmashauri Ndio ziko Saba, wilaya zake ni same, mwanga, siha, hai, rombo na moshi ambayo ina halmashauri mbili halmashauri ya manispaa ya moshi (moshi) na halmashauri ya Wilaya ya moshi (vijijini), kuna sehemu umeshauri ccm wawekeze kilimanjaro Kwani wakiwekeza huko watakua wameleta maendeleo tanzania, je hivi wakiwekeza sehemu nyingine watakua hawaleti maendeleo tanzania, by the way ccm haifanyi uwekezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiibariki Kilimanjaro unaibariki Tanzania.Nilishangaa juzi kati nilivyosikia kuna vijiji 3,000 Bado havijapata umeme, sikuwahi kujua kama kuna shida ya umeme Tanzania kwani tokea miaka ya 90 kijijini kwetu Kibosho ndani ndani kuna umeme.
Shule za kata zipo kabla serikali haijaamua kujenga shule za kata Tanzania nzima.
Maji ni bwerere, chem chem zipo za kutosha.
Kila kata ina zahanati.
Kuna barabara za lami vijijini.
Moshi pamebarikiwa
tatizo wanaendekeza ushirikinaUngezungumzia na Lindi mkuu!Lindi ya mwaka 1950 ndio IPO vile vile hadi siku ya kiama[emoji23]
Sent by Diaspora
Watu wengi hamna uelewa wa mambo ya kiutawalaWewe ni m'bishi sana.
Ila ni kweli Moshi vijijini haina mkuu wa wilaya.
Ila Kijiographia ni wilaya.
NaamUkiibariki Kilimanjaro unaibariki Tanzania.
Hata huko kwa kina @manelezu,jaap bado une hujafikaNilishangaa juzi kati nilivyosikia kuna vijiji 3,000 Bado havijapata umeme, sikuwahi kujua kama kuna shida ya umeme Tanzania kwani tokea miaka ya 90 kijijini kwetu Kibosho ndani ndani kuna umeme.
Shule za kata zipo kabla serikali haijaamua kujenga shule za kata Tanzania nzima.
Maji ni bwerere, chem chem zipo za kutosha.
Kila kata ina zahanati.
Kuna barabara za lami vijijini.
Moshi pamebarikiwa