Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Daaaa mzee umenikosha sanaa,
Mwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.

Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.

Ukiacha biashara ya kuunga mkono juhudi za rais, mkoa mzima ulikuwa na mbunge mmoja tu wa ccm. (Nayo ilitokana na cuf na chadema kuweka wagombea ila idadi yao ya kura ilizidi zile za ccm ).

Ni mkoa pekee ambao baada ya shughuli za mwaka mzima, wenyeji wake wengi hurudi kwao kusalimia ndugu,jamaa na marafiki katika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni mkoa ambao una mlima mrefu wa volkano kuliko yote duniani.

Wenyeji wa mkoa huu ni wachaga,wapare na wamasai.

MUNGU IBARIKI KILIMANJARO

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaaaaaaaaaa[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji39]

Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Hapa nako hawakua mbali
IMG-20190125-WA0007.jpeg

Pamoja na kwamba Kuna katabia flan kamezuka....Mzee mzima anawa diss sana wenye mkoa wao lakini bado hatoweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa mikoa mingine ni wajinga, uselfish mwingi,Maringo mengi,Harafu hawathamini makwao,Huwezi kukuta wachaga wapo ofisi moja halafu wanachongea hili never,ila makabila mengine haya roho mbaya,husda kibao,Yaan hata amiwa kitengo ukimwambia nipigie pande atajizungusha mpaka unakataa tamaa,angalia Kimei alivyiwajaza wachaga CRDB,angalia TRA walivyo jaa wachaga...! Sio kwamba makabila mengine hayana wasomi ama watu wenye uwezo No..Ila Roho za Korosho ndo zimewajaa anataka awe nacho yeye tu ili mpigie magoti...Shubamiti..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwachafulii Uzi wenu Kama mnavyofanyaga kwa kagera . hongereni na endeleeni na moyo uleule kujisifia mlichonacho sio uongouongo ingekuwa vyema mkaanzisha gallery ya mkoa huu ili kudhibitisha mkisemacho na pia kukuza utalii

Sent using Jamii Forums mobile app
aisée Leo umeamua kutupongeza kabisa? siamini labda id Yako imevamiwa
Kilimandjaro ni kama maji huwez kuyakwepa usipo yanywa utayaogea,usipoyaogea utafulia nk
Waite wenzio kina sundoka ,Windhoek waje wabishe Tena kwa mwaka wa 3 mfululizo Kilimandjaro inazd kuongoza kitaifa form four pia ikiongoza kwa idadi ya shule
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Kodi mnachangia kiasi gani pato la Taifa? Hafu hebu toa matokeo ya Shule za kata tuone walivyofaulu maana hao ndo Wachaga halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa mikoa mingine ni wajinga, uselfish mwingi,Maringo mengi,Harafu hawathamini makwao,Huwezi kukuta wachaga wapo ofisi moja halafu wanachongea hili never,ila makabila mengine haya roho mbaya,husda kibao,Yaan hata amiwa kitengo ukimwambia nipigie pande atajizungusha mpaka unakataa tamaa,angalia Kimei alivyiwajaza wachaga CRDB,angalia TRA walivyo jaa wachaga...! Sio kwamba makabila mengine hayana wasomi ama watu wenye uwezo No..Ila Roho za Korosho ndo zimewajaa anataka awe nacho yeye tu ili mpigie magoti...Shubamiti..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ukirudi nyumbani December ukoo utakulaumu kwanini huwasaidii ndugu na huwezi kuwa na ujanja coz wachagga wakiwa kwao huwa heshimu wazee na mila kwa ujumla....vile vile wachagga wanajumia ndogo ndogo nyingi za kusaidiana na kuinuana kwamfano msiba,elimu ,Afya,Ajira na malengo ya muda mrefu kama kupanga kuwepo mtu fulani mwenye elimu kubwa kama prof...awepo mtu idara kubwa serikali...wawepo wafanyabiashara wakubwa na mengine mengi hudiskasiwa kwenye hizi jumuia zao...utakuta wanapanga hata baada ya miaka 20 or 15....kwamfano kudunduliza pesa na kuanzisha biashara ambayo itasaidia kuwa ajiri kufikisha mbali watoto ambao hawataishia mbali kielimu au hata aliesoma....YANGU NI HAYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yana historia yake kilimanjaro ya leo haijaibuka tu ikawa hivyo ilivyo leo ni ya siku nyingi toka wakoloni huko..

ingawa wenyeji pia wanajitambua huo ndio ukweli na wanajipenda uwezi kukuta mchaga anakimbia kwao akipata tu anaanza nyumbani then kwingine kunafuata.
kongole yenu wachaga... Ila muache uwizi!
Sio wizi bana tunapenda hela na hela inatupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lango la Tanzania kwa vipi yani? A little clarification please.
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa mikoa mingine ni wajinga, uselfish mwingi,Maringo mengi,Harafu hawathamini makwao,Huwezi kukuta wachaga wapo ofisi moja halafu wanachongea hili never,ila makabila mengine haya roho mbaya,husda kibao,Yaan hata amiwa kitengo ukimwambia nipigie pande atajizungusha mpaka unakataa tamaa,angalia Kimei alivyiwajaza wachaga CRDB,angalia TRA walivyo jaa wachaga...! Sio kwamba makabila mengine hayana wasomi ama watu wenye uwezo No..Ila Roho za Korosho ndo zimewajaa anataka awe nacho yeye tu ili mpigie magoti...Shubamiti..!

Sent using Jamii Forums mobile app

Baadae ilikuja kuonekana kuwa wala siyo kweli kuwa wachaga ndiyo wengi zaidi TRA badala yake ilionekana watu wenye asili ya kutoka mkoa wa Mara ndiyo wali dominate zaidi ndani ya mamlaka hiyo !
Kwa hiyo fahamu hivyo!
Watu wakutoka Kanda maalum ndiyo walikuwa vinara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom