Sawa.katika kitabu cha rais mstaafu Benjamin Mkapa ,aligusia kuhusu kujitoa kwa kila mmoja na serikali kuweza kuongezea ndy kunakuwa na maendeleo ya haraka na ya uhakika, nafikiri wakazi na wenyejiwa kilimanjaro wana hulka ya kujitoa kufanya shughuli za maendeleo mfano kujenga barabara,zahanati,mashule na shughuli nyingi za maendeleo bila kusubiria serikali, hiyo imefanya kukawa na maendeleo makubwa zaidi kulinganisha na mikoa mingine, mfano hata huu umeme wa vijijini kwa kulimanjaro ulishafika miaka ya 90's kwa asilimia kubwa sana lakini kuna mikoa umeme umefika lakini wakazi bado wanauchungulia tu mpaka serikali iwalipie kuingiza ndani
Nawapongeza wachaga na inabidi na sisi wengine tuige hii tabia yao
Kama tu nafasi ndogo mnazopewa mnajazana wenyewe je mkiwa raisi si itakuwa shida,jiendelezeni muwe mabilionea sio lazima muwe maraisi hali mnaongoza kwa ufisadi wa nchi na uharibifu.Ni kweli mkuu alichofanya Nyerere kwa wahaya na kule kwetu kilididimiza nchi hii na kuifanya irudi nyuma miaka 40. Kwa mfano mfumo wa hata siku hizi hauruhusu mhaya au mchagga awe rais kwa hofu fulani wakati kuna watu wenye uwezo mkubwa sana huko. Ukweli ni kwamba tungekuwa na raisi mwenye kufuatilia mambo ya uchumi Tz tangu miaka ya nyuma tungekuwa na uchumi mzuri sana Africa pengine kulinganisha na South Africa.
Kariakoo na kwingineko kwenye biashara na hata nje ya nchi walikojazana nani kawapendelea. Kama kuna watu waliorudishwa nyuma kimaendeleo eti “tusubiriane’ ni watu wa Kilimanjaro. Hakuna kusubiriana kwenye umaskini, mambo hayo hufanywa na waafrika pekee ndio maana tupo nyuma wote tukisubiriana.Kama tu nafasi ndogo mnazopewa mnajazana wenyewe je mkiwa raisi si itakuwa shida,jiendelezeni muwe mabilionea sio lazima muwe maraisi hali mnaongoza kwa ufisadi wa nchi na uharibifu.
Kwa nini wasitumie hizo akili kupata huo uongozi,kwa nini wasiende hizo sehemu zinazoamua kina nani wawe viongozi,kama hawawezi kuna maana gani ya kuwa na hizo shule zote na hiza akili?sawa sawa..
Nyie nendeni mkasasambue maunoHuu uzi ni wakujisifu tu kati ya wachagga na wahaya, sasa sisi wandengereko tuna comment wapi?
Tanzania urais haupatikani kwa akili ni kwa upendeleo na fikra za‘mwalimu’.Kwa nini wasitumie hizo akili kupata huo uongozi,kwa nini wasiende hizo sehemu zinazoamua kina nani wawe viongozi,kama hawawezi kuna maana gani ya kuwa na hizo shule zote na hiza akili?
Nani anawa undermine hali mna akili kumzidi huyo mtu au watu?
Kwa nini mtu mmoja nyerere aliwazidi akili nyie wengi je ni kweli mna akili?
Je nikisema hamna akili kwa sababu mmeshindwa kutawala ntakua nakosea?
Je mnahitaji huruma ya nani hali mna uwezo kumzidi huyo mtu wa kuwahurumia?
Hayo ni maendeleo ya upendeleo huko Chattle kama yale ya Dodoma. K’njaro wanapigwa vita lakini wapo mbele kwa takwimu nyingi tu ni kwa bidii yao wala si kwa upendeleo.Kwa sasa mkoa wa Kilimanjaro hata ifikia Chato kwa maendeleo yaliopo huko
Naam umemjibu safi, maendeleo ya ku boostiwa hayadumu,nenda Gbadolite kule kwa Mobutu uone kulivyochoka, maendeleo huletwa kwa akili kubwa za watu sasa ukipeleka maendeleo sehemu watu hawana uelewa itadumu?Hayo ni maendeleo ya upendeleo huko Chattle kama yale ya Dodoma. K’njaro wanapigwa vita lakini wapo mbele kwa takwimu nyingi tu ni kwa bidii yao wala si kwa upendeleo.
Maendeleo gani? Uwanja wa kimataifa? Mbona kilimanjaro tunao tangu 1970`s? Lami kilimanjaro ni hadi vichochoroni,huduma za kijaniii kama maji,shule ni 99% mkoa mzimaKwa sasa mkoa wa Kilimanjaro hata ifikia Chato kwa maendeleo yaliopo huko
Mbona unaweweseka? Hata ulichoandika hakieleweki poleKwa nini wasitumie hizo akili kupata huo uongozi,kwa nini wasiende hizo sehemu zinazoamua kina nani wawe viongozi,kama hawawezi kuna maana gani ya kuwa na hizo shule zote na hiza akili?
Nani anawa undermine hali mna akili kumzidi huyo mtu au watu?
Kwa nini mtu mmoja nyerere aliwazidi akili nyie wengi je ni kweli mna akili?
Je nikisema hamna akili kwa sababu mmeshindwa kutawala ntakua nakosea?
Je mnahitaji huruma ya nani hali mna uwezo kumzidi huyo mtu wa kuwahurumia?
AsanteeeeKariakoo na kwingineko kwenye biashara na hata nje ya nchi walikojazana nani kawapendelea. Kama kuna watu waliorudishwa nyuma kimaendeleo eti “tusubiriane’ ni watu wa Kilimanjaro. Hakuna kusubiriana kwenye umaskini, mambo hayo hufanywa na waafrika pekee ndio maana tupo nyuma wote tukisubiriana.
Maneno ya walioshindwa utayajua tuKama tu nafasi ndogo mnazopewa mnajazana wenyewe je mkiwa raisi si itakuwa shida,jiendelezeni muwe mabilionea sio lazima muwe maraisi hali mnaongoza kwa ufisadi wa nchi na uharibifu.
Hata wasingekuja, kilimanjaro wana IQ kubwa mno wewe mwenyewe unawajuaKlischmajaro,na tanga ishukuruni GERMAN EAST AFRICA,WALIPENDA SANA KUKAA HUMO.hata hilo jina kilimanjaro pia ni lao wajeremani.
Hatuna shida na Urais idara zote tupo tena nyeti,Dua zangu usiku na mchana, na wengine tuzidi kuomba Mkuu wa nchi (Raisi) asijekutokea Kilimanjaro au Arusha.
TUSEME AMEEEEN
Asante mkuu kwa Ku appreciatekatika kitabu cha rais mstaafu Benjamin Mkapa ,aligusia kuhusu kujitoa kwa kila mmoja na serikali kuweza kuongezea ndy kunakuwa na maendeleo ya haraka na ya uhakika, nafikiri wakazi na wenyejiwa kilimanjaro wana hulka ya kujitoa kufanya shughuli za maendeleo mfano kujenga barabara,zahanati,mashule na shughuli nyingi za maendeleo bila kusubiria serikali, hiyo imefanya kukawa na maendeleo makubwa zaidi kulinganisha na mikoa mingine, mfano hata huu umeme wa vijijini kwa kulimanjaro ulishafika miaka ya 90's kwa asilimia kubwa sana lakini kuna mikoa umeme umefika lakini wakazi bado wanauchungulia tu mpaka serikali iwalipie kuingiza ndani
Nawapongeza wachaga na inabidi na sisi wengine tuige hii tabia yao