Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha

Vyema
 
Hatuna shida na Urais idara zote tupo tena nyeti,
Sisi tunawaza Ku maintain maendeleo yetu tu
Kilimandjaro ni mkoa wa kimaendeleo
Endeleeni kuendelea, ila kusema kuwa hamna shida na uraisi hayo ni maneno yako na kuwepo kwenu kwenye idara nyeti kunaleta maendeleo gani kutaifa?
Tanga imekuja mpaka imekua jiji,
Kwa sasa Dodoma nayo jiji
Bado kidogo Iringa iwe jiji, huko Kilimanjaro mtaendelea ku-maintain maendeleo yenu.
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Ni kweli kwa sbb wakazi wengi wa mkoa huo mlibaatika kuwepo ndani ya serikari kwa mtaji huo mkavutana Ndani ya serikari na kufanikiwa kupiga mapesa mengi Sana na kwenda kuendekeza mikoa yenu.mfano NBC BANK maofisa wengi ni kutoka Kilimanjaro matokeo yake mmeyaona.ATCL wafanyakazi wengi wa hukohuko Kilimanjaro matokeo yake ATCL ikafa na kampuni la ndege linalomilikiwa na wakazi wa Kilimanjaro likashika njia.kuna waziri mmoja wa fedha wakati wa mkapa ni mfungwa mstaafu ni wa huko huko kwenu Kilimanjaro alishawai kutoa kauli ya kejeri bora ture majani lakini ndege ya raisi inunuliwe tenà kadege kamoja.mbona magufuri zimenunuliwa ndege 11 na hakuna mtanzania aliekura majani.yule mchaga (mramba) alipiga miela kwa kumuadaa shemeji yenu Chinga.je kwa nini Kilimanjaro hisiendelee.TRA kote mlijaa nyie cha ajabu sasa hivi makusanyo ni makubwa sanaa TRA kwa vile umetumika ukauzu kuwatoa au kuwapunguza wakazi wengi wa mkoa wenu.na ndio maana mkoa wa Kilimanjaro mnaongoza kwa ujambazi na vifo vya kufanyiana mfano bilionea msuya.sasa ni wa na wa mikoa mingine kuendelea Acha chato ijengwe.povu ruksa
 
Kumbe upo empty namna hiyo? Unajua kwann Moshi haijawa jiji? Kigezo Ni ukubwa tu vigezo vingine vyote ni 100%
Kilimanjaro ni mkoa wa pili Tanzania kwa watu wake kuishi maisha Bora kwa mujibu wa serikali,kilimanjaro 90% wanaishi maisha bora
Sasa nyie wenye majiji mbona ndio mnaoongoza kwa umaskini ?
Kilimandjaro hadi vijijin. Unakuta supermarket na bank wakati kule kwenu tandahimba bank unaikuta km 70
Pia kilimanjaro miundombn Ni 90% Safi ushawah sikia kilimanjaro Kuna shida ya shule,maji,umeme, barabara? Kule watu hujitolea kwa nguvu Zao ndio maana maendeleo ni kemkem,ni mkoa wa kwanza Tanzânia kuwa na sekondar nyingi licha ya kuwa mkoa mdgo,pia halmashauri ya Moshi DC Ni ya Kwanza kitaifa kuwa na shule nyingi za msingi
Vijiji vingi kilimanjaro ndani ndani Hadi lami zipo,vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo Zima hii kitu ulishawahi Iona wapi Tanzania zaidi ya kilimanjaro? Hakika tutaendelea kutikisa
Kielimu ndio haswaaaa tunazidi kupaaa juu,tangu uhuru kilimanjaro.ni ngome ya elimu,kila kila ofisi huwez kosa watu wa kilimanjaro
NIENDELEE?
CC
INRI
 
Napenda kukumbusha tu
Hadi sasa hivi kwa mujibu wa takwimu za serikali, kilimanjaro ni mkoa wa pili kwa maisha bora,makazi ya vijin kwa kilimanjaro ni 90% ya kisasa,kule Hadi vijin unakuta maghorofa mtachonga Sana,Nani asiyejua uchapakazi wa watu wa kilimanjaro? Kuna eneo lolote tz utamkosa mwana kilimanjaro? Ndio Siri ya maendeleo hayo uliyoyasema Ni majungu tu
 
Kuna wachagga fulani wameanzisha kijiji kabisa eneo fulani ndani ya U.S ukifika hapo ni kichagga kwa kwenda mbele/ HUTAAMINI.
SO SO FUNNY, SIJUI IDEA YAO NI IPI KWA HILI?
 
Kumbe upo empty namna hiyo? Unajua kwann Moshi haijawa jiji? Kigezo Ni ukubwa tu vigezo vingine vyote ni 100%
Kilimanjaro ni mkoa wa pili Tanzania kwa watu wake kuishi maisha Bora kwa mujibu wa serikali,kilimanjaro 90% wanaishi maisha bora
Sasa nyie wenye majiji mbona ndio mnaoongoza kwa umaskini ?
Kilimandjaro hadi vijijin. Unakuta supermarket na bank wakati kule kwenu tandahimba bank unaikuta km 70
Pia kilimanjaro miundombn Ni 90% Safi ushawah sikia kilimanjaro Kuna shida ya shule,maji,umeme, barabara? Kule watu hujitolea kwa nguvu Zao ndio maana maendeleo ni kemkem,ni mkoa wa kwanza Tanzânia kuwa na sekondar nyingi licha ya kuwa mkoa mdgo,pia halmashauri ya Moshi DC Ni ya Kwanza kitaifa kuwa na shule nyingi za msingi
Vijiji vingi kilimanjaro ndani ndani Hadi lami zipo,vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo Zima hii kitu ulishawahi Iona wapi Tanzania zaidi ya kilimanjaro? Hakika tutaendelea kutikisa
Kielimu ndio haswaaaa tunazidi kupaaa juu,tangu uhuru kilimanjaro.ni ngome ya elimu,kila kila ofisi huwez kosa watu wa kilimanjaro
NIENDELEE?
CC
INRI
Nakusikia ndugu endelea ila punguza sauti maana unayoyasema nasikia makelele tu, na wale wa nje ya Kilimanjaro unatuona fisi maji.
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Wahimize pia kuwachagua wachaga kwa kila nyanja ikiwemo urais ili waifanye tanzania kile walichoifanya Kilimanjaro sijui kwann wanapigwa vita kwenye uongozi wakati
 
Ant chagga au ant kilimanjaro wako njiani kuja na povu kali hapa.

Ongezea na huduma za afya kwa hospitali kila kijiji na upatikanaji wa maji safi na salama kwa wingi isipokuwa sehemu ndogo ya MWANGA walokumbatia ccm bado.
Watu walishahama kwenye akili mgando za kikabila...wapo mbali
 
Endeleeni kuendelea, ila kusema kuwa hamna shida na uraisi hayo ni maneno yako na kuwepo kwenu kwenye idara nyeti kunaleta maendeleo gani kutaifa?
Tanga imekuja mpaka imekua jiji,
Kwa sasa Dodoma nayo jiji
Bado kidogo Iringa iwe jiji, huko Kilimanjaro mtaendelea ku-maintain maendeleo yenu.
ISIRUHUSIWE KUWA JIJI MAANA ITAYAACHA MBALI MNO MAJIJI MAZEE YALIYOTANGULIA TOKA KITAMBO.
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Acha uongo, barabara ya lami rombo ni moja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nazani tunapaswa kuwa nao karibu kisha kujifunza kutoa Kwao kujua wamewezaje kupiga hatua na kufika hapo walipo!
Mfano wenzetu kule kuamka alfajiri na kuanza kufanya kazi ni desturi yao!
Yani alfajiri unakuta kwenye migahawa kila kitu tayari!
Nenda mikoa mingine uone sasa ndipo utaiona tofauti!
Migahawani chai ukienda mapema unaambiwa bado hadi saa 4 [emoji87][emoji87]
Huo nimewapa mfano mdogo tu!
Halafu wale wanafanya kazi kama punda,
Hawajui kupumzika wala kulala mchana!
Si mtoto mdogo wala Mzee kikongwe ni watu wa kazi angalia mikono Yao hadi vidole vimepinda kwa kufanya kazi!
Wanajua nini maana ya kuchumia juani na Julia kivulini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteeee sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Kilimanjaro mungu aendelee tu kutuinua na tuuombee mkoa wetu, nilisafiri toka DSM to tarime mkoa Mara haki mikoa niliokatisha unaambiwa hapa ndio mjinii unashangaa bora na kule kijijini kwetu, cha kwanza kuna ukame, vumbi kupita maelezo, umeme tabu, shule mbalii yani ilifika mahali nikajisemea hiv kungekuwa kwetu ningeenda shule kwelii? Tumepita tabora igunga kwa kina shilole pakameee, kwa kweli mikoa mingine tuiombee tuu iinukee kukame waoteshe miti basis kuwe at a ukijanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom